yani watu kuhamia upande wenu haimaanishi ndio ushindi au ndio kukubalika. Angalieni watu mnaowapokea kuanzia mgombea wenu wa urais ni watu wa namna gani katika jamii?. Wengi wao ni mafisadi na walioshindwa katika kura za maoni na kukimbilia kwenu.
....alishindwa na Mwakyembe ama???????
Sasa huko CCM kabaki nani kama si wewe na Kinana nasikia JK yuko pamoja na rafiki yake.duh kwahiyo kila mwanachama akihama ni breaking news na lazima iletwe jf!!! basi kazi
.
Karibu maaana nnavyoona kasi ya wanaojiunga chadema ukichelewa zaidi ya wiki kuanzia sasa nafasi zitakuwa zimejaa.
.
jamani viongozi wa juu ccm itisheni mkutano wa wanachama wa dharura il;i kukinusuru chama hali ni tete chama cha babu zetu na bibi zetu chaangamia
Jamani chama chetu c.c.m kinaelekea wapi?
Makapi yaendelee kuondoka wabaki wasafi tu
Kinaelekea shimoni ndg yangu, jana na juzi kilikuwa icu, msafara wa kukipeleka makaburini unakaribia kufika.Jamani chama chetu c.c.m kinaelekea wapi?