google yazindua gari inayojiendesha yenyewe

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,706
39,783
nilikua naangalia movie moja inaitwa knight rider ya mwaka 2008 mmoja wapo wa mastering ilikua ni gari linalojiendesha lenyewe nilitamani one day niweze kuona technology kama hio hatimaye imefika

Gari limetengenezwa na google na tayari limechukuliwa lesen soon litaanza kutembea

_57353153_googlecarr2.jpg

Kama inavoonekana inatumia kitu kama radar sjui kidude gan kwenye paa la gari nafkiri itakua ni chombo kinachokumuniketi na server zao ni kama map flan hivi.

Haya kazi kwetu yale nyumbu vp vileee........
 
nchekie na bei mkuu.

Sidhani kama litakua linauzwa kama unavofikiri wewe mawazo yangu itakua ni kama blackberry vile yani kulipia kwa mwezi kwa sababu ukumbuke litakua linakua controlled na wao google yani kama map zao zilivo
 
Mkuu nadhani unakosea ukisema wamezindua gari...ukweli ni kwamba wamevumbua teknolojia inayotumika kulifanya gari lijiendeshe lenyewe pasipo muongozo wa mwanadamu, teknolojia hii wameshaifanyia kazi kwenye magari ya makampuni tofauti kama Toyota Prius, Lexus na mengineyo na kuonesha ufanisi mkubwa.
Mpaka sasa Google hawajaamua kuifanya teknolojia hii kuwa ya kibiashara au kuiuza kwa makampuni yanayozalisha magari.
 
najiuliza kama hilo gari linajiendesha lenyewe nini faida yake sasa?

Una mama mzee hajui kuendesha gari gari lenyewe litampeleka shoping, watoto kuwapeleka shule hamna haja ya kuajiri dereva, in short we una comand inafanya yaliyobakia. Nawaonelea huruma madereva wa miaka ijayo
 
Kama litahitaji mtu wa kulicontrol/kulicomand, basi huyo ndiye driver wake, kwa hiyo dhana yako ya kuwa halitahitaji driver si kwali.
Kama litaingia sokoni, basi madriver wa miaka ijayo watajifunza jinsi ya kulicomand.
 
chief mkwawa,wametumia concept ya knowledge based systems/Expert system...is all about artificial intelligence.
from facts, an expert system can be build.
Eg Automatic car driver
Spy jet (for millitary purpose)
 
Watanzania watakuwa na ajira mpaka kiama kwani nchi yenyewe sijui kama wanajua na mipaka yao inaishia wapi sembuse mitaa????Kazi kwa madereva haitoisha kiyama!!
 
chief mkwawa,wametumia concept ya knowledge based systems/Expert system...is all about artificial intelligence.
from facts, an expert system can be build.
Eg Automatic car driver
Spy jet (for millitary purpose)
Mbona hata za vipofu zippo??
 
mwaka juzi niliwahi ona hii technologia ikifanyiwa kazi na wajapani-
sijui ni nini kimewafanya wachelewe kutoa
 
Kama litahitaji mtu wa kulicontrol/kulicomand, basi huyo ndiye driver wake, kwa hiyo dhana yako ya kuwa halitahitaji driver si kwali.
Kama litaingia sokoni, basi madriver wa miaka ijayo watajifunza jinsi ya kulicomand.
makampuni yatafaidi sana coz watapunguza madereva na kuwa na controler mmoja au wawili atakaecontrol magari zaidi ya moja
 
Tumeachana na NYUMBU sasa tunataka usafiri wa ungo na fisi tuufanye rasmi kwa matumizi ya viongozi wa serikali na umma kwa ujumla
nilikua naangalia movie moja inaitwa knight rider ya mwaka 2008 mmoja wapo wa mastering ilikua ni gari linalojiendesha lenyewe nilitamani one day niweze kuona technology kama hio hatimaye imefika

Gari limetengenezwa na google na tayari limechukuliwa lesen soon litaanza kutembea

_57353153_googlecarr2.jpg

Kama inavoonekana inatumia kitu kama radar sjui kidude gan kwenye paa la gari nafkiri itakua ni chombo kinachokumuniketi na server zao ni kama map flan hivi.

Haya kazi kwetu yale nyumbu vp vileee........
 
Haitachukua muda mrefu itapotea. Big shots wa US hawapendi kabisa mambo ya "free/renewable energy".
 
Chief hiyo series nimeicheki jana "night Rider" hilo gari wanaliita Kitt aise si mchezo balaa lake si la dunia hiii
 
Back
Top Bottom