ManiTek TV
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 410
- 159
Duh inaonyesha imetulia hii.
Sasa kama wameirelease na haipo kene google play 2naipataje pataje kwa ku2mia Simu?
Sasa hivi inapatikana moja kwa moja kutoka kwenye Play Store.Duh inaonyesha imetulia hii.
Sasa kama wameirelease na haipo kene google play 2naipataje pataje kwa ku2mia Simu?
hheehe i screw sandwichHv haya majina ya os za android huwa wanaelezea maana zake au huwa zimekuwa originated from where maana naona zina majina magumu i.e ice creaw sandwich jealy bean na mwezi wa tano inatoka lime pie
Hv haya majina ya os za android huwa wanaelezea maana zake au huwa zimekuwa originated from where maana naona zina majina magumu i.e ice creaw sandwich jealy bean na mwezi wa tano inatoka lime pie
mkuu yote ni chakula na wanayapanga kwa alphabetical order so hua wanaforce kutafta chakula cha herufi husika.
Mfano kuanzia android 1.5 majina yapo hivi
1.5-C-cupcake
1.6-D-doughnout
2.0-E-eclair
2.2-F-froyo
2.3-G-gingerbread
3.0-H-honeycomb
4.0-I-ice cream sandwitch
4.1-J-jellybean
5.0-K-keylime pie (rumors)
so ukiangalia hapo juu utaona zinaenda alpahbetical order kuanzia c,d,e,f,g,h,i,j mpaka inayokuja k
tuombee hiyo inayokuja watumie neno la kiswahili sasa LAMBA-LAMBA
typing error mkuu hiyo.hheehe i screw sandwich