Google: Watanzania hutafuta nini mtandaoni?

Google imelemaza akili za waafrika.. Hawakai wakafikiri tena..

Kitu kidogo tu wanakimbilia google..

Ni wakati wetu wazazi kuwanyima hawa watoto simu zenye uwezo wa Google!
 
Ahahahah wabongo kwa jicho..
dawa gani au ile iliyopigwa marufuku na Mahiza a.k.a kilainishi?
:););)
 
Me ni me download app ya wikihow nachofanya ni kuuliza mengi Google situmii Sana
 
Unatumia mic gani?, videos zako zimesimama sana. Kati ya youtubers waliosimama bongo na wewe lazima uwemo.
 
Nzuri data which is information imekaa powa lakini aimaanishi kwamba Kenya is better than Tanzania
 
Ndio matumizi ya simu hayo. Unakuta mtu ana masimu makubwa mawili makuubwa kama tofali na yana huduma zote, lakini anakuuliza jambo rahisi kabisa ambalo majibu yake sahihi kabisa angeweza yapata mtandaoni ndani ya sekunde kadhaa tu(hapo anasubiri jibu aendelee na mada insta)
 
Nzuri data which is information imekaa powa lakini aimaanishi kwamba Kenya is better than Tanzania

Muda mwingine ukweli haujifichi hata kama hautaki kuusikia. Kuna vitu tunawazidi wakenya ndio lakini kwenye kufanya mambo ya maana online wakenya wapo way ahead, mimi ni Mtanzania ila huu ukweli nishakubaliana nao, wabongo starehe nyingi, wengi online ni ngono tu ndio maana pornhub ipo kwenye top sites za Tanzania, Kenya ingia top 25 sites hakuna hata moja ya ngono.
 
Hii habari mbona hata BBC Swahili walishaitoa.. Nilipoisoma mara ya kwanza nilishangaa sana.
 
Back
Top Bottom