Google wana ugonvi gani na Kiswahili

Hiyo tenda ya Google translate btn kiswahili and English walipewa wakenya. Ndio madhara yake hayo.
Ukiweka kiswahili af aongee ndo utaona hujuma za waz wazi
 
Hii lugha ya kiswahili ina vinasaba vya uchochezi ndio maana hata google hawaitaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Translator anatokea Chato.

Ndukiiiii ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
 
Hawana ugomvi wowote, ila hawajui "ugonvi" ni nini
 
Nimecheka sana wanga mchizi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Google inabidi wamuone jiwe haraka.

Na nusu Na robo
 
Hiyo tenda ya Google translate btn kiswahili and English walipewa wakenya. Ndio madhara yake hayo.
Wakenya huwa wanapata bahati kwenye dili za kiswahili kimataifa, lakini si waswahili sanifu. Dili dili hizo wanafaa watanzania. Kiswahili kipo Tanzania. Wazungu, Wachina, Wahindi na wengine wanapaswa kuweka kiswahili sanifu cha Tanzania
 
Sio bahati, wanachangamkia fursa licha ya kuwa si wajuvi kivile, sisi tunaoaminiwa kuwa ndio waanzilishi, tumelaza damu.
 
Ki ukweli wakenya wanajua kucheza na fursa, unaweza kuwafananisha na wachina duniani. Wakenya wapo tayari hata kuchukua raia wa nchi jirani ili tu ai brand nchi yao vizuri. Wakenya wamegundua kiswahili ni dili na kinawapatia ajira kwenye makampuni ya kimataifa. Wao wamekuwa wa kwanza kuingiza sauti zao za kiswahili kwenye tamthiliya za kihindi. Wazanzibar Na Watanganyika ambao ndiyo waswahili asilia hawajapata dili hizo kwa wazungu na wachina. Labda kutokuimudu vyema lugha ya kiingereza kama wakenya huenda ikawa ni sababu ya kukosa dili za kimataifa licha ya kuwa wana kiswahili kizuri
 
Hawa Wakenya wanatuharibia sana kiswahili
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji377][emoji377][emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ