Google tricks

Google tricks

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,930
Kwa wale wanaotumia Firefox au Chrome: type kwenye google search: 'let it snow' au 'Do a barrel roll' uone mbwembwe zake. Nawatakieni siku njema.
 
haaa!!! inamaaana MODS wamecopy hukoooo eeeeh,

wao sio wabunifuuu???
 
Kah, wewe unataka kusema kwenye hiyo ya ku-snow huyu Invizibo anafanya kazi Google au wamekwiba?

Hivi hii haina copyright? Inv unastahili ban ya 365 days


Ila Mkuu Ding umetambuaje haya madudu? au na wewe ni miongoni mwao?
 
Asante sana. Excellent alikua amesha tuambia kwenye thread ya vitheluji siku ile ile, ila naona kuna ambao hawakusoma na umewafurahisha pia. Merry Christmas
 
Back
Top Bottom