assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Assad werevu tunajua ulikolenga, sasa ni hivi: Trump ni shujaa, hatafuni maneno, anasema la kweli bila kificho na bila kuvuja sheria.. Anasema hisia zake within the confines of law, hicho hapa hamkitaki. Kosa la Tundu Lisu ni lipi? Kutoa hisia zake?POLISI TANZANIA WAMFANYA TUNDU LISSU KUWA MTU MASHUHURI DUNIANI APATA HITS MILLIONI 82 KATIKA SEARCH ENGINE YA GOOGLE NYINGI KUTOKA AUSTRALIA, MAREKANI NA ULAYA WAKITAFUTA (SEARCH) NENO TUNDU LISSU.
Kesi anazofunguliwa Tundu Lissu na Polisi zimemfanya kuwa mtu mashuhuri duniani, Mtandao wa Google Search Engine umepata maulizo (hits) millioni 82 zote zikitafufuta (search) neno Tundu Lissu huku hits nyingi zikitokea Australia.
Kutokana na takwimu hizo za Google Search Engine sasa Tundu Lissu anaingia katika orodha ya watu mashuhuri duniani kwa gharama ya Polisi wa Tanzania. Tundu Lissu anamfuatia Donald Trumph kwa kupata hits nyingi katika mfumo wa Internet wengine wakiandika Tundu Lissu.
Katika kurasa za Facebook taarifa za Tundu Lissu and jina Tundu Lissu pia zimepata "Like" millioni nane na mia tano na sitini hadi leo saa kumi na moja jioni kwa saa za GMT.
Chanzo : Google Statistics
Can you hear yourself??? Unalinganisha internet popularity ya Donald Trump na Tundu Lissu??? Duuuh. Kweli mahaba yakizidi ni balaa. Na likes million 8 za Facebook unazielewa kweli??POLISI TANZANIA WAMFANYA TUNDU LISSU KUWA MTU MASHUHURI DUNIANI APATA HITS MILLIONI 82 KATIKA SEARCH ENGINE YA GOOGLE NYINGI KUTOKA AUSTRALIA, MAREKANI NA ULAYA WAKITAFUTA (SEARCH) NENO TUNDU LISSU.
Kesi anazofunguliwa Tundu Lissu na Polisi zimemfanya kuwa mtu mashuhuri duniani, Mtandao wa Google Search Engine umepata maulizo (hits) millioni 82 zote zikitafufuta (search) neno Tundu Lissu huku hits nyingi zikitokea Australia.
Kutokana na takwimu hizo za Google Search Engine sasa Tundu Lissu anaingia katika orodha ya watu mashuhuri duniani kwa gharama ya Polisi wa Tanzania. Tundu Lissu anamfuatia Donald Trumph kwa kupata hits nyingi katika mfumo wa Internet wengine wakiandika Tundu Lissu.
Katika kurasa za Facebook taarifa za Tundu Lissu and jina Tundu Lissu pia zimepata "Like" millioni nane na mia tano na sitini hadi leo saa kumi na moja jioni kwa saa za GMT.
Chanzo : Google Statistics
Mkuu ebu tupe ukweli ulivyo.Can you hear yourself??? Unalinganisha internet popularity ya Donald Trump na Tundu Lissu??? Duuuh. Kweli mahaba yakizidi ni balaa. Na likes million 8 za Facebook unazielewa kweli??
anaisoma nambaMpiganaji mtiifu
Naona post zako siku hizi ni za kuikosoa serikali ya Magufuli vipi bana maslahi yako yalitingishwa
Ha ha haa
anaisoma namba
kuisoma namba hakuchaguiAssadsyria alikua mwiba mkali kwa upinzani ukipitia hoja zake za nyuma sometimes akipindisha ukweli makusudi
Nashangaa kuona Lissu kawa mwema ghafla.Tuendelee kuisoma taratibu