Google Play Store - REEDEM YOUR CODE

under_score

Senior Member
Joined
Nov 2, 2011
Posts
190
Reaction score
45
Habari waungwana,

Naombeni msaada, nashindwa ku'access Google Play Store kwenye simu yangu ya Android ...naletewa ujumbe huo hapo juu (REEDEM YOUR CODE).

Natanguliza shukrani zangu.
 

Attachments

  • Screenshot_2014-11-07-18-55-16.png
    21.3 KB · Views: 328
  • Screenshot_2014-11-07-18-55-47.png
    23 KB · Views: 328
screenahot ya kwanza umeifikia kwa kuswipe kwenda kulia na screenshot ya pili kwa kugusa hilo neno redeem, mbona inaonekana kama unapafata mwenyewe hapo na sio kwamba ukifungua unaletewa huo ujumbe?

hapo kama una gift voucher umenunua au umeshinda mahali unaeieka ili kupata credit za kufanyia manunuzi.


hebu sema ukweli.
 
Mkuu Chief,

Ki ukweli ni kwamba nikijaribu kuifungua Play Store yangu HAIFUNGUKI, bali inani'prompt kwenye hiyo screenshot ya kwanza, ambapo niki'click "REDEEM" ndipo inanipeleka hapo kwenye screenshot ya pili na kunitaka niingize hiyo CODE, na hapo ndo shida inapokuja sasa, maana mimi siijui sasa hiyo Code ni ipi??
 
... On additional note, nikijaribu kui'swipe back (left) ile screenshot ya kwanza kwa maana ya kuificha, ujumbe unaobaki/ na ama unaobakia kwenye screen yangu ya simu ni "NO CONNECTION, TRY LATER"
 
swipe toka kulia kuja kushoto utarudi kwenye main screen ya playstore
 
It appears that your smartphone is not correctly configured for internet,configure it first!

Yeah, possibly. So, how do i do those internet configurations mkuu? Please.
 
Nikijaribu hivyo main screen inayokuja ndo hiyo "NO CONNECTION, TRY LATER" Chief ....

kaka ili usaidiwe inabidi utoe taarifa vizuri hebu niambie

umeshawahi kutumia playstore? au ndi mara ya kwanza? na kama tayari ulifanya kitu gani mara ya mwisho hadi ikaleta connection error?
 
kaka ili usaidiwe inabidi utoe taarifa vizuri hebu niambie

umeshawahi kutumia playstore? au ndi mara ya kwanza? na kama tayari ulifanya kitu gani mara ya mwisho hadi ikaleta connection error?

Ki ukweli nimeshakuwa nikiitumia sana tu hiyo Play Store kwenye simu yangu, na haikuwahi kunletea shida yoyote yani, ghafla tu siku moja nikaanza kuona huo ujumbe kila nikijaribu kuifungua, na ndio mpaka leo nikaona nijaribu ku'share nanyi humu hii kitu ili kwamba nipate msaada kama kuna mwingine alowahi ku'experience hii problem, maybe.

So inawezekana kabisa kuna kitu/ au mahali niliwahi kugusa lakini kiukweli sina kumbukumbu yoyote as to how all this had hapenned in the first place!
 
kaka ili usaidiwe inabidi utoe taarifa vizuri hebu niambie

umeshawahi kutumia playstore? au ndi mara ya kwanza? na kama tayari ulifanya kitu gani mara ya mwisho hadi ikaleta connection error?

Kwa hili tatizo setting ya net haijakaa vizuri arudi kule kwenye mobile network.
 

fanya hivi nenda setting halafu more network halafu mobile network halafu access point

angalia hapo kuna nini?
kama hakuna kitu au kuna wap au web inabidi utengeneze access point mpya.

bonyeza button ya chini kabisa kushoto chagua new apn.

connection name andika jf
apn andika internet

bonyeza back button halafu activate jf iwe active kwa kuiekea alama ya duara kwa mbele

then ingia playstore uangalie kama tatizo limeisha
 
Kama hivi;-
 

Attachments

  • 1415383060218.jpg
    33 KB · Views: 119
  • 1415383083451.jpg
    43.9 KB · Views: 121
  • 1415383100907.jpg
    44.4 KB · Views: 110
  • 1415383122248.jpg
    37 KB · Views: 108

Wacha nijaribu wakuu, i'll get back to you shortly for feedback.

Thanks in advance for your time wakuu.
 
Wakuu, nimejaribu kufuata maelekezo lakini tatizo la Play Store naona iko pale pale bado wakuu wangu ...,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…