google play kwenye tecno n3

King2

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
1,277
Reaction score
182
wakuu naomba msaada jinsi ya kudownload apps kwenye google play kwa kutumia simu ya tecno n3. naona napata meseji kuwa device siyo compatible na apps.
 
wakuu naomba msaada jinsi ya kudownload apps kwenye google play kwa kutumia simu ya tecno n3. naona napata meseji kuwa device siyo compatible na apps.

mkuu usifkiri ukinunua simu tu ya android utakua na access na apps zote 700,000 kila apps zina limit ya hardware fulani. Kuna apps zinahitaji hadi 1gb ya ram ili kurun vizuri.

Kwa simu kama tecno n3 ambayo ina gingerbread 2.3 na ina limitation mbili kwenye kurun apps.

1. Os yake 2.3 ni ya zamani na os mpya ipo 4.2 (jelly bean) so haitarun apps zilizokua optimised na os za juu

2. Ram yake ya 256 na processor ya 800mhz ndogo sana kiasi kwamba kurun os tupu tu ni shida ukieka apps ndio balaa.

Kwahio mkuu ushauri wangu mimi ukifika playstore achana na vitu vikubwa try kudownload apps ndogo ndogo mfano game kama tetris uangalie litafanya kazi? Then likifanya jua simu yako ipo ok tatizo ni hardware za simu ndogo.

Next time jikaze tafta simu nzuri kidogo
 
Sio kweli apps za kwenye Play store mbona zinakubali labda mtumiaji anashindwa kudownload, ni apps ipi anadownload zinagoma?
 
Sio kweli apps za kwenye Play store mbona zinakubali labda mtumiaji anashindwa kudownload, ni apps ipi anadownload zinagoma?

umesoma vizuri hayo maelezo? What i mean hawezi kua na access na apps zote kwa simu ya ram 256mb.

Kama na wewe huamini jaribu game za gameloft kama asphalt 7 hv kwenye simu yoyote yenye ram 512 kushuka chini uone kama utacheza kitu
 
Sio kweli apps za kwenye Play store mbona zinakubali labda mtumiaji anashindwa kudownload, ni apps ipi anadownload zinagoma?


instagram n.k
 

Uko sahihi sana chief !! cheap andrioid comes with it apps penalty from play store
 
Sawa mkuu Chief Mkwawa nimekuelewa ngoja nijaribu
 
Kumbe nilibugi mi mwenyewe. N3 inadowload fresh mi android apps kwenye google play kama kawa. N3 ni noma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…