Google pixel XL

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
947
Wadau habari nilikuwa nataka kubadilisha simu sasa nilikuwa nataka kununua simu ya aina ya google pixel xl naomba mawazo hapa hizi simu ni nzuri au,kikubwa nachopendea hizi simu ni camera yake na mimi uwa navutiwa na simu zenye camera nzuri,kuna page moja ipo intagram(Bongosmart)naona hana hizi simu ila ni used kutoka ulaya
 
Pixel na pixel Xl Ni za zamani Sana toka 2016 Ni equivalent na s7, Usitegemee camera Kali kwenye pixel ya kwanza kwa standard za Sasa.
 
Pixel na pixel Xl Ni za zamani Sana toka 2016 Ni equivalent na s7, Usitegemee camera Kali kwenye pixel ya kwanza kwa standard za Sasa.
Oooh Za ivi karibuni kuna pixel ipi na ipi mkuu
 
Ila hizi simu Camera zipo poa sana sema hamfikii Huawei
 



Google wapo vizuri kwa updates so pixel hiyo ya kwanza sasa ipo Android 10, ambayo ni the latest version ya Android na hata simu nyingi za mwaka huu bado hazijaipata.

Na kama unachopenda zaidi ni camera angalia comparison hapo juu kati ya generation zote za hiyo simu na uamue mwenyewe, lakini kwa kifupi hiyo simu kwa hiyo bei ni chaguo zari - kama unamuamini huyu seller kwa kukupa bidhaa reliable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…