Pixel ngapi hio
Braza hongera
Wapi huko
Aisee kumbe sio bei tishio sana. Vipi sifa zake nyingine Unaweza nipatia?
Akikujibu nitag na mimi nipate kujua .
Akikujibu nitag na mimi nipate kujua .
Iyo ni camera kawaida kwa simu za google pixel ila kwa nyie wengine mnaweza kudonwload kama program ila kwetu watu wa pixel ni kawaida hatuhitaji kuroot simu ipo automatically yangu nilichukua 330k iyo pixel 3a zipo kibao kila kona
Ipo playstore? Nitaipataje naomba linkIyo ni camera kawaida kwa simu za google pixel ila kwa nyie wengine mnaweza kudonwload kama program ila kwetu watu wa pixel ni kawaida hatuhitaji kuroot simu ipo automatically yangu nilichukua 330k iyo pixel 3a zipo kibao kila kona
kaka kwa mpya sio parefu sana kulinganisha na ubora angalia iyo pixel 6 na iphone 13 au redmi 11 ultra utaona bado wako chini kwa bei mi binafsi ni mzee wa pixel napata picha vile napenda update kila mda uwakikaHio ni simu kiongozi kampuni ya simu ya google ina simu zao zinaitwa google pixel ni nzuri sana upande wa kamera na pia ni ghali sana kwa mpya
Kwa bongo naweza ipataje mkuu?!Hio ni simu kiongozi kampuni ya simu ya google ina simu zao zinaitwa google pixel ni nzuri sana upande wa kamera na pia ni ghali sana kwa mpya