deogan
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 399
- 46
Raha ya hii tarehe ya leo ni uongo mwingi. Na google mwaka huu wamekuja na uongo wa style yake wakauita google nose; yaani ukitafuta harufu ya kitu chochote kwenye simu au computer yako google itarudisha feedback ya harufu na utaweza kuinusa kupitia display yako. Hahaha
Source: Google's youtube channel
http://www.youtube.com/watch?v=VFbYadm_mrw&feature=youtube_gdata_player
Sent from my SGH-T959 using Tapatalk 2
Source: Google's youtube channel
http://www.youtube.com/watch?v=VFbYadm_mrw&feature=youtube_gdata_player
Sent from my SGH-T959 using Tapatalk 2