mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
ofcourse google ikianguka kutakuwa na madhara makubwa na hasara moja takatifu. mimi nina email ya gmail toka mwaka 2004 mpaka leo niko nayo sijawahi ibadirisha ndiyo ina mambo yangu mengi japo nilianza kwa kutumia yahoo 2003 ila nikaona yahoo chenga....kila kitu kina alternative lakini madhara ya anguko la Google ni makubwa sana!...kuna almost watu zaidi ya Billion 2 wanaotumia android platform hapo hujaongelea other google products!..
Mwenyewe email ya kwanza ilikua Yahoo mwaka 2006/7 nazani lakini kutokana na kutoamua kubadilika kwao nikahamia google toka hapo natumia Gmail always na toka picha, files hadi contacts zipo google.ofcourse google ikianguka kutakuwa na madhara makubwa na hasara moja takatifu. mimi nina email ya gmail toka mwaka 2004 mpaka leo niko nayo sijawahi ibadirisha ndiyo ina mambo yangu mengi japo nilianza kwa kutumia yahoo 2003 ila nikaona yahoo chenga....
Na duckduckgotutatumia bing
Ikifungwa tutaendelea tu kula ugali na mandondo pasi shakaHivi umeshawahi jiuliza siku Google ikizimika nini kitatokea duniani?, Maisha yatakuwaje bila google, maana google inakusanya Youtube, Android platform, Gmail, Google+, Google apps, Google maps na vitu vingine kibao.
Sasa cheki hii mwaka 2013 mwezi wa 8 tarehe 16 Google ilizimika kwa dakika 5 tu kati ya saa 9:50 - 9:55 mchana, kilichotokea internet traffic ilishuka kwa asilimia 40 duniani. Yani ndani ya dakika 5 watu wakapoteana kwa 40% hebu fikiria ingekuwa nusu saa au dakika 15 nini kingetokea?.
Tukio hili Google wenyewe walishindwa sema nini kilitokea zaidi ya kutoa taarifa tu. Hiyo ndio nguvu ya Google katika kuamua maamuzi ya dunia.
View attachment 693821
Bado haitii mguu kwa google, na itabaki nakuendelea kuwa baba lao!.Aise Jf najifunza vingi saiv naacha kutumia Google natumia Bing nisha download app yao
Hiyo ni sehemu ndogo ya Google yani umedefine google search engine lakini je google contact, google+, google weather, google cloud, dropbox, gmail, google drive, Youtube, messenger, google chrome, google android, google music n.k umeona jinsi gani ilivyo kubwa google yani ukihesabu Google ina huduma kama 150+ hivi.Google ni tech ambayo what it does ni ku-mirror local data (computer) and indexes and to give you a refined best possible inquiry.
Inatoa data toka googletutatumia bing
Mimi nadhani assignment zote zitachelewa kukusanywa
Ni google yeah!