Kumbe hakuna.hakuna kitu ambacho hakina substitute duniani labda pumzi tu
Kuna application na huduma kama 125+ hivi tunazozitumia kila siku zinatoka Google hapo hujaongelea makampuni yanayomtegemea google!. Yani kama kuanza upya basi tutaanza na 1 sio 10 tena!.Ikizimika basi tutaanza upya, na maisha yataendelea