Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu naomba nisaidie link ya Samsung A20. These are the results.
Thanks
 
Mkuu mbona Nina mtk na inasuport features kama zote
 
Jamani na Mimi mwenye Samsung J5 prime nasaidieni Link
 
mnateseka nn jamani na gcam mods za xda jitahidini mnunue pixel angalau za kwanza au 2 xl, anaehitaji anicheki mi ntanunua zkifika nakuja nikuuzie, napokea order, nmeona mtu anataka pixel 3 huko juu ila mm 3 xl yangu siuzi labda nikiwa naupgrade to pixel 4
 
Uchumi mdogo hzo google pixel zimeshibw bei
 
Bei zikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…