Google advanced protection imenishinda

Magari damu

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
444
Reaction score
779
Habari zenu wakubwa, natumia iphone, sasa kuna hii system ya ulinzi inaitwa advanced protection kwa ajili ya kuiongezea email ulinzi zaiidi. Hii system imekua established ili kutumika na watu kama journalists ambao wanakua katika risks za attacks kwa ajili ya kuwalinda dhidi ya watu wabaya.

Sasa nilitaka niijaribu kuiweka hii systdm katika email yangu kwa ajili ya kuiongezea ulinzi katika akaunti yangu (japo sio mwanahabari) ila ili kuweza kuiactivate hii advanced protection unatakiwa kununua security keys ( hizo security keys zinakua zinafanya kazi kwa Bluetooth) ambazo zitakusaidia kuiunlock email yako kwa popote pale ulipo karibia na device yako.

Yani bila hiyo security key huwezi kuifungua email yako yani. Ila mimi sikuweza kufanikiwa kuzinunua hizo security keys maana unazinunua mtandaoni. Sasa sijajua yani ilikua activated vp hyo advanced protection maana sikuweza kununua hiz security keys. Yani sahv nikijaribu kuingia kwenye email yangu kwa device nyingine inanambia kwamba "google couldn't verify that this emailbelongs to you. This happened because google advanced protecrion has being turned on for this account. For your security, you can't sign in at the moment."

Also nilijaribu kuwacontact google waweze kunifanyia recovery ya email yangu wakanambia ndani ya siku 3-5 watakua wamenipa mrejesho ila hadi sahv hawajanicheki na ni karibia week ya pili.
Naombeni wakuu anaeweza kua na idea na hii kitu anisaidie jinsi ya kuidisable advanced protection.

 
Wazee wa scroll down untill you found Agree, next time utakuwa aware na kwa vitu sensitive kama ivo uta read terms and conditions before accepting, Btw wataalamu wanakuja mimi ni mgeni wa hio feature na situmii email za gmail nipo upande wa outlook Good Guy CHIEF MKWAWA Mwl.RCT
 
Mkuu kama uliwasiliana na google wakakwambia usubiri basi kuwa mvumilivu wasubirie tu, wafanya kazi wa google kwa sasa wanapitia kipindi kigumu maana wamepunguzwa kazini wengine wamebadilishiwa masaa ya kazi kutokana na hili janga la corona... Hata mie nimejaribu kuwasiliana na google specialist kwa email majibu yake kaniambia atanipa baada ya wiki moja.. kawa mkweli hajanificha. So subiri.
 
Anhaa...shukrani sana boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…