GOOGLE ADSENSE VS REVENUEHITS

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,725
Reaction score
2,411
Habari zenu wanajamvi, nauliza kipi bora kutumia adsense au revenuehits, au vyote vinaweza tumika pamoja
Naombeni msaada plz kwa mtu yeyoye mwenye ideas.
Naomba fact juu y hizi mbili
 
na mimi nasubiria majibu. although nilishagoogle kitambo wengi wanasema hakuna anayempiku google ads
 
google ads terms na condtions zao ni hatari sana yani ukikosea kidogo tu wanaku suspend .
 
Habari zenu wanajamvi, nauliza kipi bora kutumia adsense au revenuehits, au vyote vinaweza tumika pamoja
Naombeni msaada plz kwa mtu yeyoye mwenye ideas.
Naomba fact juu y hizi mbili
Kutumia matangazo ya aina tofauti tofauti kwenye website, blog n k inawezekana but hayaleti mwonekano mzuri kumbuka watembeleaji wako wanahitaji ujuzi/maudhui yako sio matangazo yako so chagua moja either all or one na inategemeana na upangiliaji wa matangazo hayo. Vinginevyo utapunguza audience Kama UI na maudhui yanayofanana na ya wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…