Goodluck anayetajwa Sana kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Huyu Good luck ni mmoja wa askari waliokuwa kwenye lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Huyu na wenzake ndio waliokuwa wanateka watu, kuwaua na kuwafunga mawe na kuwatupa baharini. Wamepanga na kuendesha operation za kikatili sana kwa wale wote waliokuwa wanaipinga na kuikosoa serikali ya Magufuli. Kwa sasa yeye na wenzake wanaweza kuendelea kuwa salama kwani waIitekeleza unyama ule kwa maagizo ya Magufuli. Ila iko siku kundi hilo na uchafu wao utakaa wazi na watakutana na mkono wa sheria. Huyu Goodkuck atakuwa anajua vizuri sana nani walimshambulia Tundu Lisu, waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda nk. Na kama wamezikwa anajua ni wapi.
Mkuu kwa ufaham wangu mdogo hlo jina Ni fake, inawezekana akawepo mtu ambae anafanya vitu hvyo(kwa serikal Ni Jambo la kawaida) ila Hana jina hlo, katika majeshi Kuna Nikinames nyingi, ambazo hutumika kuwapoteza watuhumiwa, hasa wanapokuwa wanapanga kesi,

Rejea tu hata wanaosema waliretwa tazara ushahidi unaonekana walepelekwa center makaomakuu(Kama sijasahau) Sasa linapokuja kuthibitisha Hakim yeye anaangalia ushahidi hapo ndpo utakapojua kuwa kuwa na sheria na haki Ni vitu 2 tofauti kabisa..

Ukiifuatilia kesi, unajua kabisa kunawatu waliachiwa for plan, na ushahidi ulitengenezwa Bila wao kujua kuwa baadae watakuwa mashahidi....
 
Hakuna kitu kama hicho, wamekutwa kwenye mazingira tulivu na hawakutarajia kubambikiziwa kesi za kijinga. Komando akiamua kweli liwalo na liwe hao wapuuzi wataisoma namba makwambia.
Aamue kwa walevi sio Gooduluck mzalendo
 
Mbona hata mbowe ukimtizama uwezi mzania ni gaidi ,unashangaa nini ? Sisi watu wa legacy ya kizarendo hatutaki kujua habari za mbowe wala goodluck sisi tunataka kujua kifo cha JPM kilitokeaje tokeaje je kunamkono wa mbwa yoyote au la? hichondiyo cha msingi kwetu ,habari za mbowe kuminywa kende hadi zipasuke sisi azituhusu
Hapa watu hawawez kujadili japo ukwel wanaujua....
 
point hapa ni kwamba kafa,kama ni shujaa wenu mlimtuma,hatoki mtu.
polisi kufa sio habari,maana ndio kazi waiyoapa kuifanya.

sasa wewe tumbili ukifa ni hasara kwenu.
Zezeta unapohisi una akili ya kuita watu tumbili. Kafa Magufuri na haijawa hasara kwangu. Siku Kama ukisikia imetokea (maana haiwezekani)Mungu aliyeumba MBINGU na nchi kafa niambia ndiyo itakuwa hasara. Lakini kufa kwa muuwaji yeyote siyo hasara kwangu hasara kwenu. Maana waovu wakipungua nchi ufurahi
 
Mkuu kwa ufaham wangu mdogo hlo jina Ni fake, inawezekana akawepo mtu ambae anafanya vitu hvyo(kwa serikal Ni Jambo la kawaida) ila Hana jina hlo, katika majeshi Kuna Nikinames nyingi, ambazo hutumika kuwapoteza watuhumiwa, hasa wanapokuwa wanapanga kesi,

Rejea tu hata wanaosema waliretwa tazara ushahidi unaonekana walepelekwa center makaomakuu(Kama sijasahau) Sasa linapokuja kuthibitisha Hakim yeye anaangalia ushahidi hapo ndpo utakapojua kuwa kuwa na sheria na haki Ni vitu 2 tofauti kabisa..

Ukiifuatilia kesi, unajua kabisa kunawatu waliachiwa for plan, na ushahidi ulitengenezwa Bila wao kujua kuwa baadae watakuwa mashahidi....
Kwa hiyo ukiwa na nick name unabadilisha hadi sura yako? Mbona mdude alikuwa hawajui kwa majina Ila alipowaona sura akawajua Nick name si kitu chochote kile. Shika sura ya mtu tu hata akiitwa bata shauri yake.
 
mnajidanganya ben saanane kauliwa na mbowe chacha wangwe kauliwa na mbowe mawazokauliwa na mbowe yote ni kulinda kiti cha uenyekiti ona sasa karma inafanya kazi yake na hapo hachomoki hata mzikiri uchi hakuna kitu kinatoka hapo

kama nawaona tumbi**li za chadema zikitamani huyo mtesaji awe ni MSUKUMA.
Mchaga mzima kabisa na akili zako unakubali kutumiwa na msukuma kuua nduguzo!!!?? Dah!! Aibuuu
Kwa hiyo jamaa alikuwa anafurakhikia sana wakat nyumba zetu zikibomolewa kule kimara wakat za wasukuma zikiambiwa zisibomolewa maana walimpigia kura!!!!!
Goodluck unatumika kifala sana...
 
Wewe p.imbi ndio kingai, goodluck au mahita?

kingai,goodluck,na mahita ni viongozi wao.

wapo watu wa chini yao hata huwezi kaa ukawajua,na ndio watakuja wakufinye siku umezingua na unahisi huonekani.
 
Zezeta unapohisi una akili ya kuita watu tumbili. Kafa Magufuri na haijawa hasara kwangu. Siku Kama ukisikia imetokea (maana haiwezekani)Mungu aliyeumba MBINGU na nchi kafa niambia ndiyo itakuwa hasara. Lakini kufa kwa muuwaji yeyote siyo hasara kwangu hasara kwenu. Maana waovu wakipungua nchi ufurahi

ndio maana nikakuita tumbili,maana huna watu muhimu ktk maisha yako,umejikatia tamaa tu,hata afe nani kwako sawa tu.

kufa wewe ni hasara kwenu,mtu asiyekuhusu hawezi kuona uzitoa kukuzima kama mshumaa,sasa jifanye shujaa wa upepo.
 
Hope mko poa,

Hii kesi ya Mbowe imeibua Mambo mengi Sana,,moja Kati ya mengi ni kutajwa Sana kwa kinara wa utesaji aitwae afande Goodluck.

Adomo alimtaja Goodluck Kama mmoja wa watesaji, Mdude juzi alisema aliweza mtambua mmoja wa watesaji kuwa ni afande Goodluck, leo komando Mhina amemtaja afande Goodluck Kama mmoja wa watu waliomtesa sana

Who is Goodluck in this country,, na kwanini anatajwa Sana kama kinara wa watesaji hapa Tanzania.

Wanaomjua huyu jamaa ebu tueleze tumjue mtesaji mkuu wa polisi
Hakuna hata mwenye picha yake?
 
ndio maana nikakuita tumbili,maana huna watu muhimu ktk maisha yako,umejikatia tamaa tu,hata afe nani kwako sawa tu.

kufa wewe ni hasara kwenu,mtu asiyekuhusu hawezi kuona uzitoa kukuzima kama mshumaa,sasa jifanye shujaa wa upepo.
Uzuri ni kwamba una ujinga wa kukutosha.
 
Back
Top Bottom