GOODBYE PROXY nilikupenda sana kuliko hata bundle.

mnyongeni

Senior Member
Dec 6, 2011
141
24
wadau sijui kwenu, ila kwangu ngoma inagoma kutumia proxy tatizo hili limeanza saa tatu asubuhi leo tarehe 27 mwezi wa nne 2012. nahisi jamaa sijui ndo amepata muarobaini? coz nikiweka hella, inaconect tena vizuri tu hata hizo home page za proxy zinafunguka, ila hela inaliwa kama kawa, wadau hebu mnipe feedback, oo maskini proxyyyyyyy.......
 
kuna kitu cha zantel using PD proxy,full kushusha torrent,ila lazima uwe na account ya u recharge for 10,000 per month,yaani ni balaaa kisirani.:bounce:
 
Sijui nini @ 2saidie mwenzako 2nakufa daah bdo ni ishu kweli
mi nalipia bundles kama kawaida mkuu ila ninachohitaji nakitafutia kwenye torrents tu, natumia voda naweka bundle ya mwezi then nashusha vitu taratiiibu.....
 
<br>
wanaotumia proxy wengi wanatumia voda....kazi ni kwako....wakiwa wengi kazi ni kwenu!! binafsi yangu mimi si mpenzi sana wa proxy ila nashusha madude kwa torrents mbaayaaaaaaaaa....labda siku zikifa na torrents.....

tusaidie basi wenzako hiyo njia mbadala ya proxy
 
Back
Top Bottom