mnyongeni
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 141
- 24
wadau sijui kwenu, ila kwangu ngoma inagoma kutumia proxy tatizo hili limeanza saa tatu asubuhi leo tarehe 27 mwezi wa nne 2012. nahisi jamaa sijui ndo amepata muarobaini? coz nikiweka hella, inaconect tena vizuri tu hata hizo home page za proxy zinafunguka, ila hela inaliwa kama kawa, wadau hebu mnipe feedback, oo maskini proxyyyyyyy.......