Goodbye ahmadnejad

unaweza kujiuliza ni kwa nini west wakajitahidi sana kuwawekea nchi wayahudi huko palestine na kwa nini wanawapokea waislamu kwa wingi europe ????

kwa fikira zangu ni kuwa wayahudi ndio msababu ya vita za dunia , na hali inavyokwenda watajimaliza wenyewe huko huko waliko
Teh teh teh!mkuu una fikra potofu,pole sana kwa hilo!
 
Huyu ndiye aliyeahidi kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia,matokeo yake anaondoka kwa aibu huku Israel ikiendelea kupeta Duniani!

Anaondoka kwa aibu nadhani tafta maana ya neno aibu!!! katumikia nchi yaake kama Rais kwa vipindi viwili, kaacha madaraka kikatiba kakabidhi nchi iliyoendelea sana ki viwanda na teknolojia ya Kisasa kabisa aibu iko wapi hapo...wewe nadhani uko dunia ya 8!!! hujui maana ya aibu, wewe umewahi kua katibu kata tu sidhani mana hutoshi, sasa usiongelee Rais aliestaafu kwamba kaondoka kwa aibu!!!
 
shamseddin20130618105313100.jpg


Iran's incumbent President Mahmoud Ahmadinejad has met with president-elect Hassan Rohani to discuss domestic issues, especially politics and economy.

Link PressTV - Iran?s Ahmadinejad, president-elect Rohani discuss economy, politics
 
Anaondoka kwa aibu nadhani tafta maana ya neno aibu!!! katumikia nchi yaake kama Rais kwa vipindi viwili, kaacha madaraka kikatiba kakabidhi nchi iliyoendelea sana ki viwanda na teknolojia ya Kisasa kabisa aibu iko wapi hapo...wewe nadhani uko dunia ya 8!!! hujui maana ya aibu, wewe umewahi kua katibu kata tu sidhani mana hutoshi, sasa usiongelee Rais aliestaafu kwamba kaondoka kwa aibu!!!

Umenena vema mkuu. Nijad ameitendea mema nchi yake. Hakuwah kuwaogopa mabeberu ktk kutetea maslahi ya nchi yake. Hiyo ni heshima kubwa sana kwake na kwa taifa lake. Huwez kumfananisha nijad na vibaraka wengine. Tanzania ikiwekewa kikwazo kimoja tu, hata miezi sita hatutafika ila tutakuwa tumeshasalimu amri. Nampenda Nijad, big Nijad
 
IRAN ni superpower in middle east acha ndo wapinga sera kandamizi za kibeberu duniani viva ahmadnejad pumzika umejitambulisha kidunia.maswali yko yamekosa jibu juu ya ukweli kuhusu mauaji ya wayahudi me nakubaliana na wwe kwa nini hawaruhusu kufanya utafiti juu ya hiyo myth
 
In Iran, the president is a figurehead more or less.

Power lies with the Supreme Leader.

So nothing much changes there.
 
Dr Ahmednajad my hero,

the man is highly educated, smiles non stop, and speaks without and fear of any human being existing on earth

Well done Ahmed
 
TUKUTUKU

Sijui kama umewahi kuyasiki amajina kama haya, Rothschild, Warburg, Morgan families na Rockefeller

Tuanze mwisho wa list hiyo ,,,,,Rockefeller ndio waliokuwa wakimiliki 90% ya mafuka ya dunia nzima hadi kufikia 1946. Unajuwa Hitler alipata wapi mafuta ya kundeshea war machines zake? Standard Oil, unajuwa Rockefeller ni nani? German Jew. Hao akina Morgans na Warburg ndio waliokuwa wakimpa Hitler cash za kuendesha vita vyake, unawajuwa hao Morgan na Warburg ni nani? German Jews. Na hao wote wanaongozwa na Rorthschild family ikiwa hujui na yeye ni german jew. Nimekupa mfano wa Germany kwasababu sote tunajuwa 6 million jews waliuliwa na hitler

Lakini UK, USA, Frace, Italy walikopesha na Rorhschild katika vita vya pili vya dunia. Sasa jiulize ni nani alokuwa akipigana? walioshika silaha walikuwa gentiles pesa za vita zilitoka kwa jews.

Bei ya dhahabu na almasi katika soko la dunia zinapangwa na rorthschild family, bei yamafuta pia. Kwahivo wakiona bei iko chini wanatafuta sababu ya kupandisha bei, mara nyingi huwa ni vita baina ya america na kijinchi fulani hivi

Bank kuu za USA, UK, Italy, France, Germany belongs to those families

hawa ndio wanaoamua vita au peace

Ukitaka kujuwa zaidi sema
[h=3][/h]
 
delusions

u must be in a state of sleep walking, u better wake up before its too late
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom