ahahaTutaweza kweli kuandika mazuri?.....
Binadamu sie ni kuhesabu mabaya tu, tupe ruksa ya kuongea negative tukushushie page 10 za chap chap 😀
Hahahaha!Tutaweza kweli kuandika mazuri?.....
Binadamu sie ni kuhesabu mabaya tu, tupe ruksa ya kuongea negative tukushushie page 10 za chap chap 😀
thread ingekuwa page ya 10 sasaTutaweza kweli kuandika mazuri?.....
Binadamu sie ni kuhesabu mabaya tu, tupe ruksa ya kuongea negative tukushushie page 10 za chap chap 😀
Acha tu yani hapa ingekua hivi....thread ingekuwa page ya 10 sasa
ha ha haha tungekuwa mbali sana . kweli binadamu tunajienekeza kuangalia mabaya zaidi.. na ukweli mazuri ni mengi kuliko mabayaAcha tu yani hapa ingekua hivi....
Wanaume:
Mke wangu mvivu, Kazi anafanya house girl ndo maana nimeamka kulala nae.
Nlivotoka kwa mchepuko wangu, mke wangu nimemkuta anachat na mwanaume mwingine, wanawake sio watu jamani.
Mke wangu Kazaa watoto wawili amekua na shape mbaya, naona mzuka umepungua.
Wanawake:
Wiki ya pili sasa sijisikii kumpa
Mume wangu amenifika hapa, najuta
Mume wangu ana magari mawili ila mie napanda bajaji
Wakati hapo mme kila siku anapikiwa, anafuliwa, anaandaliwa nguo na mengine kibao... Ila haoniha ha haha tungekuwa mbali sana . kweli binadamu tunajienekeza kuangalia mabaya zaidi.. na ukweli mazuri ni mengi kuliko mabaya
amina na atupe hata aibu kidogo pale tunapokoseana tukakumbuka mazuri manne tu kati ya yale 100..Wakati hapo mme kila siku anapikiwa, anafuliwa, anaandaliwa nguo na mengine kibao... Ila haoni
Wanawake tunapewa vizawadi, tunahudumiwa shopping, tunapewa hela za matumizi hadi saloon tunasindikizwa na waume zetu..... Ila akikosea kosa moja tu utachamba kuanzia whatsapp mpaka instagram, utahesabu mabaya yooote
Mungu atutie nguvu
Umechoka kusikia habari mbaya wapi? Kwenye media story hizo hazitoisha coz ndo moja ya matumizi yake.
Lazima utakuwa unajua watu ambao kutwa wanapost wapenzi wao kwenye media kama whatsap na kuandika maneno mazuri kuwahusu. Hawajakutia moyo?
But its not very often that people randomly start threads to fawn their partners, apart from special days like anniversaries. Why would they do that? Would you randomly start praising your partner in front people in real life?
Ingawa nishaona threads mtu anaanzisha kumsifia mwenzake, watu wanaishia kumsema eeh jamaa you are obsessed embu punguza.
Ukisoma vizuri hata kwenye threads za majanga, lazima utaona comments zinazoashiria mapenzi bado yapo huko duniani.
Mimi najua couples nyingi amaizing, zenye kuvutia, zenye kutia hamasa, zenye kutia imani. Faithful men, men who respect women, who know how to love their women, family men, women confident about their men.
Wala usikatishwe tamaa na stories za majanga.
BTW it's a Friday. Sio mbaya kubadilisha vitanda on a weekend 😛
hahahha veery true, ooh sijui mme/mke hanifikishi.. page elf 20.Acha tu yani hapa ingekua hivi....
Wanaume:
Mke wangu mvivu, Kazi anafanya house girl ndo maana nimeamka kulala nae.
Nlivotoka kwa mchepuko wangu, mke wangu nimemkuta anachat na mwanaume mwingine, wanawake sio watu jamani.
Mke wangu Kazaa watoto wawili amekua na shape mbaya, naona mzuka umepungua.
Wanawake:
Wiki ya pili sasa sijisikii kumpa
Mume wangu amenifika hapa, najuta
Mume wangu ana magari mawili ila mie napanda bajaji
Shemeji ananikuna kuliko mme wangu.... 😀hahahha veery true, ooh sijui mme/mke hanifikishi.. page elf 20.
Hahaaa umeongea pointmapenzi matamu bwana!!
huo ubaya ni bahati mbaya tu!