Kwa hiyo hii myth imewaathiri wengi sana. Ila hata we kiranga ukiangalia, watu wengi wanasisimkwa na life ya past. Maisha ya sasa yako very .com na very digital
ukitaka chochote unapress tu cha msingi hela yako. si kama enzi zile za mtafutano
we umezaliwa lini? enzi za barua hukumbuki? haya madotcom si maradhi tu?
Dont take it so seriously G. After all ni perception tu. Hata huyo aliyesema good old dayz definitely anajiongelea yeye as Kiranga put it every day is a good old day to someone. Chill GBarua mpaka leo hii zinatumika hasa kwenye masuala rasmi kwa hiyo si dhani kuwa barua tunaweza kuzihusisha na enzi moja kwa moja.
Katika nchi zilizoendelea ambazo hiyo unayoita .com imetawala, barua zinatumika zaidi na kwa ufanisi zaidi kuliko .com ilikodorora.
Haya madotcom si maradhi tu...........panahitaji ufafanuzi zaidi kabla ya kuweza kutoa mchango zaidi.
Maradhi kwa misingi ipi?
kweli umeamua. naungumzia maisha ya kijamii zaidi. ukubali tu kuwa enzi zile zilikuwa na utamu fulani tofauti na leo. labda baada ya miaka 15 tutaona leo ni good old daysBarua mpaka leo hii zinatumika hasa kwenye masuala rasmi kwa hiyo si dhani kuwa barua tunaweza kuzihusisha na enzi moja kwa moja.
Katika nchi zilizoendelea ambazo hiyo unayoita .com imetawala, barua zinatumika zaidi na kwa ufanisi zaidi kuliko .com ilikodorora.
Haya madotcom si maradhi tu...........panahitaji ufafanuzi zaidi kabla ya kuweza kutoa mchango zaidi.
Maradhi kwa misingi ipi?
enzi zile mamboo yalikuwa burudani kabisa
Nadhani Wallet anamaanisha social life... Kingine unakuta mtoto wako anasoma km 30 kutoka ukaapo mambo ya kwenda shuleni kwa mguu hamna... Kama unacho unalipia SCHOOL BUS aka BYE DAD BYE MUM...