Zimekuwa zikitumika njia nyingi sana nzito za kupunguza unene, uzito ambapo watu wengi huona ni shida sana. Furahia hii njia nzuri kwa afya yako.
MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
- Seamen cassie
- Cassia bark
- Mullberry leaver
- Fago fyrum tataricum
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
- Maji ya nyongo
- Nguvu ya mwili(glucose)
- Uric acid
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ****** na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
- Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.
KAZI YA MAGILIM
- Kupunguza uzito na unene
- Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
- Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
- Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
- Kutoa sumu mwilini
- Kutoa chunusi mwilini
- Kutibu matatizo ya tumbo
WASIOPASWA KUTUMIA
- Wajawazito
- Wanaonyonyesha
- Wagonjwa waliodhoofika sana mfano ukimwi, saratani, kifua kikuu, malaria, kisukari n.k
- Watoto chini ya miaka 14
Ukiwa unahitaji hiyo bidhaa usipate shida unaweza kuwasiliana na mimi kwa namba 0776491294 pia unaweza kuniandikia barua pepe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama yake ni Tsh 62500/- tu
Hizi siyo dawa kama mtu anavyokwenda kununua maduka ya Pharmacy. Hizi ni product zitokanazo na mimea na zimeandaliwa kiasilia. Hazina madharaMaelezo mazuri kibiashara ila kwa sababu mwili wa binadamu unajitegemea katika utendaji wake LAZIMA, lazima......hii dawa ina mdhara mwilini je unaweza kutoa madhara pia ili mtumiaji awe na uchaguzi mzuri???????
Zimekuwa zikitumika njia nyingi sana nzito za kupunguza unene, uzito ambapo watu wengi huona ni shida sana. Furahia hii njia nzuri kwa afya yako.
MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
- Seamen cassie
- Cassia bark
- Mullberry leaver
- Fago fyrum tataricum
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
- Maji ya nyongo
- Nguvu ya mwili(glucose)
- Uric acid
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ****** na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
- Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.
KAZI YA MAGILIM
- Kupunguza uzito na unene
- Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
- Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
- Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
- Kutoa sumu mwilini
- Kutoa chunusi mwilini
- Kutibu matatizo ya tumbo
WASIOPASWA KUTUMIA
- Wajawazito
- Wanaonyonyesha
- Wagonjwa waliodhoofika sana mfano ukimwi, saratani, kifua kikuu, malaria, kisukari n.k
- Watoto chini ya miaka 14
Ukiwa unahitaji hiyo bidhaa usipate shida unaweza kuwasiliana na mimi kwa namba 0776491294 pia unaweza kuniandikia barua pepe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama yake ni Tsh 62500/- tu
Nimeipenda hii! Mazoezi wapo wengi hata ukimwambia atembee kilometa moja anakuambia hawezi na hataki kujichosha. Huyu mtu unene utapungua? Hii ni product nzuri yenye kukufanya wewe uwe unakula kama kawaida na uwe unapunguza mwili bila kutoka jasho. Hv unafahamu kuwa wapo watu wanaopata tabu sana kupunguza unene na wanaojaribu kufanya hivyo wanakazana hadi kupungua wanaonekana kama wazee?Dawa pekee ya mtu kupunguza unene ni Mazoezi pamoja na discipline ya Msosi. Mengine ni mbwembwe tu!
Research zimefanyika miaka 4000 sasa China na kwa sasa product zote za afya zinahamasishwa kiserikali kutumika kwa ajili ya afya ya watu zaidi ya bilioni 1.3 nchini. Imefanyiwa utafiti kwa muda wote huo na kuweza kukubalika kutumika kwa kuwa hazina madhara na zinaondoa tatizo kabisaReach yake ilifanyika wapi na lini? Mafanikio yake yalikuwaje?
Ukikusanya 62500 kwa watu 1000 na ikawa ni uwongo si utapeli mzuri huo
Nimeipenda hii! Mazoezi wapo wengi hata ukimwambia atembee kilometa moja anakuambia hawezi na hataki kujichosha. Huyu mtu unene utapungua? Hii ni product nzuri yenye kukufanya wewe uwe unakula kama kawaida na uwe unapunguza mwili bila kutoka jasho. Hv unafahamu kuwa wapo watu wanaopata tabu sana kupunguza unene na wanaojaribu kufanya hivyo wanakazana hadi kupungua wanaonekana kama wazee?
Ndiyo watu wengi ni wavivu pia wapo wasiozingatia utaratibu wa lishe na kutokana na hilo wanakuwa wakiruhusu mambo hayo kutokea na watu wenye nia njema kama mimi sitaki hawa watu waendelee kupata matatizo mengi yanayosababishwa na unene. Ndiyo ninapenda kuwasaidia kwa utaratibu huu.Tatizo linakuja pale mtu unene aliou-accumulate kwa miaka anapotaka uondoke kwa wiki mbili,, ikishindikana basi anakata tamaa. Mazoezi yanatakiwa yawe sehemu ya maisha ya Mwandamu yeyote. Kama ulivyoainisha hata kutembea ni zoezi pia.
Ndiyo watu wengi ni wavivu pia wapo wasiozingatia utaratibu wa lishe na kutokana na hilo wanakuwa wakiruhusu mambo hayo kutokea na watu wenye nia njema kama mimi sitaki hawa watu waendelee kupata matatizo mengi yanayosababishwa na unene. Ndiyo ninapenda kuwasaidia kwa utaratibu huu.
Dawa pekee ya mtu kupunguza unene ni Mazoezi pamoja na discipline ya Msosi. Mengine ni mbwembwe tu!
Mwambie aniandikie katika email yangu. ishealthy@hotmail.comWasiliana na ndugu yangu katika naimadarweesh@yahoo.com
Tatizo Bei ni kubwa sana jitahidi kupunguza....Hyo product umetengeza wewe? Je unayo na dawa ya kuondoa sumu mwilini?