Good news!!!!!!!!

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
326
Points
170

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
326 170
Zimekuwa zikitumika njia nyingi sana nzito za kupunguza unene, uzito ambapo watu wengi huona ni shida sana. Furahia hii njia nzuri kwa afya yako.

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

 • Seamen cassie
 • Cassia bark
 • Mullberry leaver
 • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

 • Maji ya nyongo
 • Nguvu ya mwili(glucose)
 • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ****** na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

 1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

 • Kupunguza uzito na unene
 • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
 • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
 • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
 • Kutoa sumu mwilini
 • Kutoa chunusi mwilini
 • Kutibu matatizo ya tumbo

WASIOPASWA KUTUMIA

 • Wajawazito
 • Wanaonyonyesha
 • Wagonjwa waliodhoofika sana mfano ukimwi, saratani, kifua kikuu, malaria, kisukari n.k
 • Watoto chini ya miaka 14

Ukiwa unahitaji hiyo bidhaa usipate shida unaweza kuwasiliana na mimi kwa namba 0776491294 pia unaweza kuniandikia barua pepe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama yake ni Tsh 62500/- tu

Attachments:

Tamatheo

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
3,307
Points
1,500

Tamatheo

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
3,307 1,500

Maelezo mazuri kibiashara ila kwa sababu mwili wa binadamu unajitegemea katika utendaji wake LAZIMA, lazima......hii dawa ina mdhara mwilini je unaweza kutoa madhara pia ili mtumiaji awe na uchaguzi mzuri???????
 
health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
326
Points
170

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
326 170
Maelezo mazuri kibiashara ila kwa sababu mwili wa binadamu unajitegemea katika utendaji wake LAZIMA, lazima......hii dawa ina mdhara mwilini je unaweza kutoa madhara pia ili mtumiaji awe na uchaguzi mzuri???????
Hizi siyo dawa kama mtu anavyokwenda kununua maduka ya Pharmacy. Hizi ni product zitokanazo na mimea na zimeandaliwa kiasilia. Hazina madhara
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Messages
2,589
Points
2,000

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2009
2,589 2,000
KIkopo chenye we picha yake imechakachuliwa maandishi umeweka product nyingine na kuipa jina tofauti
Zimekuwa zikitumika njia nyingi sana nzito za kupunguza unene, uzito ambapo watu wengi huona ni shida sana. Furahia hii njia nzuri kwa afya yako.

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

 • Seamen cassie
 • Cassia bark
 • Mullberry leaver
 • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

 • Maji ya nyongo
 • Nguvu ya mwili(glucose)
 • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ****** na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

 1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

 • Kupunguza uzito na unene
 • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
 • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
 • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
 • Kutoa sumu mwilini
 • Kutoa chunusi mwilini
 • Kutibu matatizo ya tumbo

WASIOPASWA KUTUMIA

 • Wajawazito
 • Wanaonyonyesha
 • Wagonjwa waliodhoofika sana mfano ukimwi, saratani, kifua kikuu, malaria, kisukari n.k
 • Watoto chini ya miaka 14

Ukiwa unahitaji hiyo bidhaa usipate shida unaweza kuwasiliana na mimi kwa namba 0776491294 pia unaweza kuniandikia barua pepe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama yake ni Tsh 62500/- tu

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
326
Points
170

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
326 170
Dawa pekee ya mtu kupunguza unene ni Mazoezi pamoja na discipline ya Msosi. Mengine ni mbwembwe tu!
Nimeipenda hii! Mazoezi wapo wengi hata ukimwambia atembee kilometa moja anakuambia hawezi na hataki kujichosha. Huyu mtu unene utapungua? Hii ni product nzuri yenye kukufanya wewe uwe unakula kama kawaida na uwe unapunguza mwili bila kutoka jasho. Hv unafahamu kuwa wapo watu wanaopata tabu sana kupunguza unene na wanaojaribu kufanya hivyo wanakazana hadi kupungua wanaonekana kama wazee?
 
health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
326
Points
170

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
326 170
Reach yake ilifanyika wapi na lini? Mafanikio yake yalikuwaje?
Ukikusanya 62500 kwa watu 1000 na ikawa ni uwongo si utapeli mzuri huo
Research zimefanyika miaka 4000 sasa China na kwa sasa product zote za afya zinahamasishwa kiserikali kutumika kwa ajili ya afya ya watu zaidi ya bilioni 1.3 nchini. Imefanyiwa utafiti kwa muda wote huo na kuweza kukubalika kutumika kwa kuwa hazina madhara na zinaondoa tatizo kabisa
 
TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
9,276
Points
2,000

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
9,276 2,000
Nimeipenda hii! Mazoezi wapo wengi hata ukimwambia atembee kilometa moja anakuambia hawezi na hataki kujichosha. Huyu mtu unene utapungua? Hii ni product nzuri yenye kukufanya wewe uwe unakula kama kawaida na uwe unapunguza mwili bila kutoka jasho. Hv unafahamu kuwa wapo watu wanaopata tabu sana kupunguza unene na wanaojaribu kufanya hivyo wanakazana hadi kupungua wanaonekana kama wazee?
Tatizo linakuja pale mtu unene aliou-accumulate kwa miaka anapotaka uondoke kwa wiki mbili,, ikishindikana basi anakata tamaa. Mazoezi yanatakiwa yawe sehemu ya maisha ya Mwandamu yeyote. Kama ulivyoainisha hata kutembea ni zoezi pia.
 
health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
326
Points
170

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
326 170
Tatizo linakuja pale mtu unene aliou-accumulate kwa miaka anapotaka uondoke kwa wiki mbili,, ikishindikana basi anakata tamaa. Mazoezi yanatakiwa yawe sehemu ya maisha ya Mwandamu yeyote. Kama ulivyoainisha hata kutembea ni zoezi pia.
Ndiyo watu wengi ni wavivu pia wapo wasiozingatia utaratibu wa lishe na kutokana na hilo wanakuwa wakiruhusu mambo hayo kutokea na watu wenye nia njema kama mimi sitaki hawa watu waendelee kupata matatizo mengi yanayosababishwa na unene. Ndiyo ninapenda kuwasaidia kwa utaratibu huu.
 
Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,232
Points
1,195

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,232 1,195
Ndiyo watu wengi ni wavivu pia wapo wasiozingatia utaratibu wa lishe na kutokana na hilo wanakuwa wakiruhusu mambo hayo kutokea na watu wenye nia njema kama mimi sitaki hawa watu waendelee kupata matatizo mengi yanayosababishwa na unene. Ndiyo ninapenda kuwasaidia kwa utaratibu huu.
"The doctor of the future will prescribe no drugs but will interest his patients in the care and nutrition of the human frame and in the cause and prevention of disease." - *Thomas Edison (1847-1931)*
 
Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,573
Points
2,000

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,573 2,000
Dawa pekee ya mtu kupunguza unene ni Mazoezi pamoja na discipline ya Msosi. Mengine ni mbwembwe tu!
Nime underline hiyo kwa kuwa hiyo ndio inahusika zaidi, kwani mazoezi yanafanya mwili uwe vizuri tu na kama unakula hovyo hovyo bado utakuwa mnene.

Ila kama unajua nini chakula na kutokula utapungua. Nimepungua 4 ndani ya mwezi mmoja, nataka nipungue tena kama kilo 4 zingine halafu nianze kula chakula ninachoweza kuunguza calories zake kwa siku.
 
health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
326
Points
170

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
326 170
Tatizo Bei ni kubwa sana jitahidi kupunguza....Hyo product umetengeza wewe? Je unayo na dawa ya kuondoa sumu mwilini?
Bei siyo kubwa King Kong. Ina bei ambayo inasaidia kuendelea kutafuta material kama kikopo na vinginevyo kwa ajili ya kuhifadhia hiyo bidhaa. Mimi sina dawa ya kupunguza sumu mwilini ila ninayo product iliyoandaliwa kiasilia inayoondoa sumu mwilini
 
Forum statistics

Threads 1,389,508
Members 527,938
Posts 34,026,819
Top