donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
inakuaje wakuu? kwa wale gamers nataka niwapashe habari njema,in no time nitatia mkono wangu kwrnye kitu cha fifa 12. kwenye ijumaa this week nitakua nimeshaipata and guess wat? nitaisupply for free. all you need ni empty dvd then we can arrange meeting nakuwabania. ningeweza kuiweka online ila ina gb za kutosha na kwa internet yetu ya modem hii it will take longtime. pamoja sana wakuu
mkuu ya PS3 vip ndgu???
dah sasa mkuu kwa wasiokuwa mjini hapo itakuaje...maana inahusika sana hiyo kitu...!!
hio kitu nimeshaiweka mikononi tokea juzi. Now new features nyingi kwel kwel
nice work kaka.
Laughing Out Loud!
itakuwa poa sana mkuu maana hizi za kwenye torrents naona nyingi bado zina problem ya ku crash kwa sasa...wakuu ngoja nitajaribu kuicompress. ivi winrar iko poa? atlist ibaki kwenye kaukubwa flani reasonable then ntaupload nakuiweka iwe shared online ila kwa gamers wa hapa dar nafkiri tutasomana tu coz makazi yangu kwa sasa ni pale posta iakua muzu
The game is here. FIFA 12-RELOADED (download torrent) - TPB Hiki ndo cha ajabu, halafu usipende kujua kila kitu cause unaweza hata kuja kudadisi baba yako halisi ni nani. Vitu vingine uwe unamezea. Nasubiri kama mzeewaloliondo ataweza kuicompress niichukue kwasababu hii ni kubwa sana itanichukua week nzima kuidownload. Natumaini utakuwa umeridhika.cha ajabu?