Unaweza kuongezea mkuu! 🙂Nzur bt too short,nadhan kuna vitu badoooo ulitakiwa kuvianika zaid juu ya hilo
Communication ya kumsifia mtu huwa rahisi sanaa, na inaishaga vizuri tu. Tatizo linakuja pale kwenye communication ya kupeana MAKAVU. Wengi kupokea ile message kunakuwa na feelings na emotion tofauti tofauti
Bora hata iwepo hiyo ya kupeana makavu live, kimbembe ni pale mnuno unapotawala, hakuna wa kuvunja ukimya daah!!
Wengine wanataka wasikilize na kuongea at the same time hapo sasa unashindwa kupata muafakamkuu hii nzuri listen first and talk later
Tatizo jingine ni kwamba kukiwa na waongeaji wengi kuna watu wenye character ya kutake over!!Yaani wao ni waongeajii wazuri natural borns...sasa hapo usipokuwa considerate wale ambao sio waongeaji wazuri wanakuwa wanakandamizwa...au ndo inakuwa ile mtu huyu anaongea na mwengine anaongea!Ustaarabu pia ni kitu muhimu haswa ikiwa ni maongezi ya watu zaidi ya wawili!
Nilipokuwa mwanafunzi tulipokuwa na presentations tulikuwa tunagwana sehem za kuongea na ikitokea swali linaulizwa kuhusu kile kipande ulichokiongelea basi inakupasa wewe ujibu na kama wenzio wanaona unazubaazubaa mwengine anacover up!!Nadhani wakati mwengine kukiwa na makubaliano na kila mtu akirespect makubaliano things work out fine!!
Uhusiano madhubuti unajengwa na misingi imara!Wekeaneni misingi kwamba kama mmekwaruzana kabla siku haijapita mnasuluhisha na kuongelea suala hilo!Mimi hata nipishane na mtu leo kesho nikiamka ni mtu mwengine ya jana nshayasahau!
Hizi communication skills zinasumbua sana hapa Tanzania. Watu wanapata shida sana ktk one at a time speaker, or speaking in turns
Pole....mfanye awe comfortable enough kukwambia mambo yake na pia timing ni muhimu!
Wengine wanataka wasikilize na kuongea at the same time hapo sasa unashindwa kupata muafaka
Ni changamoto aiseeee