Gonga Unlike Kama Una Inda

Gonga Unlike Kama Una Inda

Mbona maji anatumia ya chupa purified ANGEKUNYWA YALE YA WENYEJI AMBAYO NG'OMBE NA BINADAMU WANA SHARE

kuna mwanaharakati mmoja tu Gemma Akilimali ndiye huwa hatumii haya maji
 
Wanakula huku wanaona kinyaa.........baadae wanameza FLAGYL......siasa mfu kabisa! hapa kavaa kandambili kutafuta huruma ya wananchi

8.jpg



 
Wanakula huku wanaona kinyaa.........baadae wanameza FLAGYL......siasa mfu kabisa! hapa kavaa kandambili kutafuta huruma ya wananchi





ndio siasa hiyo mkuu amesoma mazingira, tizama wengi walio pichani

 
mamilionea wanajaribu kuwazuga wananchi.
na wananchi walivyo wazito wataamini kuwa hata familia za hao vigogo na wao wanakula hivyo hivyo.
 
mamilionea wanajaribu kuwazuga wananchi.
Na wananchi walivyo wazito wataamini kuwa hata familia za hao vigogo na wao wanakula hivyo hivyo.

hii ndio danganyika bhana
 
ingetakiwa hata maji yawe kijani sahani na bakuri ziwe kijani hapo sasa wangejipenda zaidi
 
Back
Top Bottom