Gombe National park hits in Hardtalk

Fall in love with Chimps??!!!----Unaweza kusema maneno hayo mbele yake???? 🙉🙉🙊
Tatizo unawaza ambalo sijalenga hapa. Ni kwamba anapenda kufanya kazi juu ya hao primates.
 
Najua imekuuma sana ewe mmanyema wa Ujiji kusikia waha wakitajwa. Pole sana.[emoji1787]
Mkikaribishwa sehemu muwe naheshima na wenyeji,habari za Heru juu mtama?
 
Tatizo unawaza ambalo sijalenga hapa. Ni kwamba anapenda kufanya kazi juu ya hao primates.


Mimi ninalenga kile ulichoandika, ninawezaje kuingia akilini mwako na kujua unachowaza bila kuangalia ulichoandika??!!.

Ulichoandika kwa kiingereza ni tofauti na unachowaza au ulichoandika kwa kiswahili, sasa ni bora ukiri makosa na uombe usaidiwe neno sahihi la kiingereza kwa ajili ya hiyo maana unayokusudia.

Neno sahihi kwa muktadha huo ni; "fond of", na wala sio "fall in love".

"She has been very fond of Chimps"

Na sio; fall in love with Chimps🤣🤣.

Ndiyo maana nikakuuliza, je unaweza kutamka maneno hayo mbele yake????.
 
Hivi ni kweli hawa jamaa wanaruka ruka kama washabiki wa Yanga?

Au washabiki wa Yanga ndiyo wanaruka ruka kama hao jamaa.

cc Shadeeya
 
😂😂😂😂😂😂.Acha kukalili.
 
Inaumiza sana.
 
Acheni kuizarau kgm ni mkoa wa maana sana kuishi......kigoma imetoa matajiri wengi wakati wa uhujumu uchumi,watu wa kigoma walistaarabika mapema,halafu huwa hawayumbishwi kabisa,hapo kariakoo kuna wazee kibao wa kigoma wanamiliki mijengo toka kitambo enzi za nyerere,mikoa mingine ilikuwa haijulikani kwenye ramani,wazee wetu wameuza sana dhahabu,meno ya tembo,mafuta na biashara nyingine za pesa enzi hizo wakizifanyia kigoma-zaire-burundi na zambia.
Naskia enzi hizo MTU wa kigoma akija dar kavaa nguo au kiatu kikali...watoto wa kihindi wanamgombania awauzie kwa bei yeyote!!! Kwa hiyo kigoma imeingiza mavitu ya kizungu kipindi hicho dar bado sana.

Ujanja na kustaarabika kigoma ilianza kitambo sana,sasa tunaomba heshima itawale.
 
I’ve been in Gombe mazingira mazuri sana ila sokwe ni wachache ni Km16 kutoka Kigoma town usafiri ni boti ila nyuma ya ile Milima Kuna kijiji kinaitwa Bubango.Nilipanda mlima M1500 ,ukiwa juu unaona view nzuri ya ziwa Tanganyika.Pia Kuna maporomoko ya maji very attractive.
I hope nitaenda mahale pia
 
Yote kwa yote serikali lazima iwe makini na huyo bibi kutokana na safari zake kwenda kwao anakaa kipindi then anarudi na kwenda kwa jamaa zake sokwe.

Anaweza kweli akawa anapenda maisha na kuhudumumia sokwe ila behind lazima huwa sitaki kukubali moja kwa moja kuamini biashara yake huko polini.
 
Tupe msg ya leo hard talk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…