Goma kuwa Kivu Republican?

Goma kuwa Kivu Republican?

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
43,231
Reaction score
90,407
Kufuatia waasi wa M23 wanasapotiwq na Rwanda kuukalia mji wa Goma kimabavu je ndio mwanzo wa kuigawa DRC?

Wengi walisikia kuhusu mkataba wa lemera ambao unasemwa ndio uliwapa watusi (banyamulenge) eneo lakini baada Muzee Kabila akasema ni mkutano wa porini na yeye hana mamlaka ya kugawa nchi bila idhini ya wacongo.

Sasa Leo M23 chini ya sapoti ya majeshi ya Rwanda yanaukalia mji waa Goma na kujitangaza kuitawala na tayari wakiwa wameishateua Magavana wa kuongoza Jimbo hilo.

Kwa Rwanda na Kagame hii ni FAIDA kubwa sana kwao kijamiii na hata Ki ulinzi. Ni rahisi Sasa kuwazuia FDLR kufika Rwanda anakuwa na uhakika walau kidogo kuwapatia watu wake ardhi mpya.

Uzi :👇🏾
 
Goma kuwa "Kivu Republic"?
Republique du Kivu".
 
Ina maana Goma na Bukavu zitasalia chini ya M23/RDF kwa miaka mingi ijayo ?...sidhani kama itawezekana..
 
Back
Top Bottom