Jaman hebu nitoeni ushamba... kwani ni number of times ndo ya muhimu au ufanisi wa kazi? Kwani hata hako kamoja kama mtu anaridhika si poa tu kuna haja ya kufanya nne za kuchubuana na mtu asubuhi hata kuamka hawezi? I thought it is the content that counts... au?