samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,237
Kule ulaya wanaita puska ,nadhani TFF wameona kabisa tena walipeleke FIFA likaanze kujadiliwa kabisaa
Ajib ananifurahisha sana, mechi zote na Simba anagoma kucheza mpira wake, sijui mapenzi au anakuwa vizuri kwenye mechi average.Goli bora kabisa la msimu
Goal la Ajibu limewekewa kikao na FIFA leo kulijadili na kupima kasi yake maana nasikia ule ukingo wa goli ulitetemaKule ulaya wanaita puska ,nadhani TFF wameona kabisa tena walipeleke FIFA likaanze kujadiliwa kabisaa
Mechi 6 bila kupoteza mchezo kumbuka iloMechi 6 tu..vyura mmeshaanza kuruka ruka
Ngoja nijionee maana nilisikia tuHilo hapo MkuuView attachment 890830
Hili goli ni noma mazeeNgoja nijionee maana nilisikia tu
Acha wivu wa kike weweMechi 6 tu..vyura mmeshaanza kuruka ruka
Umeandika kidogo sana hebu ungeza kulisifia basi khaaaHili goli ni noma mazee
We jamaa umenichekesha sana. Ili ujue goli la Ajibu nimelifurahi sana hapo ulipo agiza kinywaji chochote utumiacho.Umeandika kidogo sana hebu ungeza kulisifia basi khaaa
Ajibu anajua kuwa ni mtoto wa Simba.Ajib ananifurahisha sana, mechi zote na Simba anagoma kucheza mpira wake, sijui mapenzi au anakuwa vizuri kwenye mechi average.