Goli la kisigino wanalofungwa CCM

Goli la kisigino wanalofungwa CCM

Mtaka yote

Senior Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
136
Reaction score
103
Lazima tukubaliane Lowassa ana mtaji wa kura nyingi kutoka CCM..kuna wabunge na viongoz wengi bado wako CCM lakn ni Team Lowassa hadi kufa..iko waz majukwaan watamsifia Magufuli kulinda matumbo yao lakin kura zao na wafuasi wao watampa Lowassa..Na hili ndio goli la kisigino watakalofunga UKAWA
 
Hili lipo wazi kabisa hata usukumani Lowasa ana kura nyingi tu
 
Hilo liko wazi, hata huku kitaa kuna viongozi wa CCM wengi tu na wanasema kura zao na familia zao ni kwa Lowassa.
Mwaka huu CCM haichomoki.

Watu wengi wanaipenda CCM ila Mwenyekiti kawaangusha. Katibu mkuu yeye ni mfanyabiashara hodari hana lakuficha.
 
Lazima tukubaliane Lowassa ana mtaji wa kura nyingi kutoka CCM..kuna wabunge na viongoz wengi bado wako CCM lakn ni Team Lowassa hadi kufa..iko waz majukwaan watamsifia Magufuli kulinda matumbo yao lakin kura zao na wafuasi wao watampa Lowassa..Na hili ndio goli la kisigino watakalofunga UKAWA

Jakaya mwenyewe Team Ngoyai
 
Kura zao na familia zao unamaanisha nin..?
 
Watu wengi wanaipenda CCM ila Mwenyekiti kawaangusha. Katibu mkuu yeye ni mfanyabiashara hodari hana lakuficha.

Binafsi nafurahi sana kwa yanayoendelea hivi sasa maana laiti kama Kikwete angeongoza vyema vikao bila figisu figisu zake na kumpitisha Lowassa basi mambo yangekua magumu kwa UKAWA.

Pia hata kama Lowassa angepitishwa na CCM na kushinda uchaguzi mkuu bado mambo ni yaleyale hata kama yangebadilika ila sio kiujumla maana tatizo ni mfumo mbovu wa serikali ya CCM.
 
Lazima tukubaliane Lowassa ana mtaji wa kura nyingi kutoka CCM..kuna wabunge na viongoz wengi bado wako CCM lakn ni Team Lowassa hadi kufa..iko waz majukwaan watamsifia Magufuli kulinda matumbo yao lakin kura zao na wafuasi wao watampa Lowassa..Na hili ndio goli la kisigino watakalofunga UKAWA

Mkuu huo ndio ukweli na utabakia kuwa ukweli haswaa,lkn vijana wa Lumumba watakuja hapa wanatokwa na mapovu kama mbogo aliye jeruhiwa
 
Binafsi nafurahi sana kwa yanayoendelea hivi sasa maana laiti kama Kikwete angeongoza vyema vikao bila figisu figisu zake na kumpitisha Lowassa basi mambo yangekua magumu kwa UKAWA.

Pia hata kama Lowassa angepitishwa na CCM na kushinda uchaguzi mkuu bado mambo ni yaleyale hata kama yangebadilika ila sio kiujumla maana tatizo ni mfumo mbovu wa serikali ya CCM.

Sana na kwa wana ukawa hiyo ndio ilikuwa ni majibu ya maombi yao kwani kwa sasa wanapumua kwa raha sana
 
Lazima tukubaliane Lowassa ana mtaji wa kura nyingi kutoka CCM..kuna wabunge na viongoz wengi bado wako CCM lakn ni Team Lowassa hadi kufa..iko waz majukwaan watamsifia Magufuli kulinda matumbo yao lakin kura zao na wafuasi wao watampa Lowassa..Na hili ndio goli la kisigino watakalofunga UKAWA

Wapo ccm kimwili lkn kiroho wapo ukawa. Pipooooz????
 
Lazima tukubaliane Lowassa ana mtaji wa kura nyingi kutoka CCM..kuna wabunge na viongoz wengi bado wako CCM lakn ni Team Lowassa hadi kufa..iko waz majukwaan watamsifia Magufuli kulinda matumbo yao lakin kura zao na wafuasi wao watampa Lowassa..Na hili ndio goli la kisigino watakalofunga UKAWA

Goli la mkono ndio tamu
 
Attachments

  • 1438976157308.jpg
    1438976157308.jpg
    28.9 KB · Views: 276
Back
Top Bottom