Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 13,388
- 9,758
Hii kitu nimeikuta youtube Mdau Rashid kihwelo kaamua kuitupia apate Majibu wacha na mimi niilete humu kiamuliwe
Mimi nasema ni Goli na sio goli
Mimi nasema ni Goli na sio goli
Kwann lisiwe goli wakati mpira ulikuwa kwenye move badoKama ni penati tano tano hilo sio goli kama ni ndani ya mchezo Wa kawaida hilo ni goli