Dada haka katoto kanafaa kuwa ka-wifi kako au unaonaje?
nina valyuuu hapa nikpe? Nimerd kwa pasaka tu.
Cjambo hof na mashaka kwako.
Iam watching you!weweeee karibu GM tatizo tumeshaoa ningekutoa out
ckudanganyika kwa gxmia nidanganyike kwa chips? Unanfanansha?
Utamuweza?? Kama unamuweza namkaribisha
Aisee nitumie hiyo valyuu, nahitaj sana sasa hivi baada ya kazi.
Kama shule ngumu, likizi hii injoi tu.
Umeonana na ADii?
Iam watching you!
ndio maana yake!
inakuhusu?
hah! hapo kwenye green umenifanya ni-stop sekunde moja kumkumbuka FF simuoni kabisaaa siku hizi!!
halafu kuhusu gxmia, labda ulikuwa hujui kuendesha na uliogopa ungeshindwa kujibu maswali nyumbani kuhusu ulivyoipata lakini chips ukiwa na njaaa... weeeeeeeeeee ni hatari!!
Utamuweza?? Kama unamuweza namkaribisha
mm mtoto wa mkubwa, mtoto wa maraha gxmia inaingia thaman kweny gari yangu mara 2!
ahsante kunijulisha ili niwe naongea nae style ya TRA na mfanyabiashara!...lol
sasa kumbe ulifikiria utaulizwa hiyo ya pili umetoa wapi!!
teh teh teh!
ww hatuelewan kabsa naona.
unacheka... unafahamu pozi lakuongea na traficc ilhali unajua huna leseni, trl imeisha, tairi kipara na hukufunga mkanda?
Nzuri zaidi huna hela mfukoni