Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,445 Jan 6, 2011 #1 Hapa sijui wese limeisha alienda kununua kwenye kudumu au ndo betri down Jamani mapolisi mnatia aibu sasa hapo ikitokea dharura si ndo balaa Ndo maana huwa mnafika maeneo ya matukio baada ya saa 1 mpaka mshtue defender zenu Lakini nashangaa kwenye Maandamano huwa mnafika mapema hata kabla ya mda wa maandamano Tuseme ndo usongo wa kupiga watu virungu na mabuti? Au fraha yenu kuona watu wanahangaika kutafuta maji kuosha nyuso zao kwa maji ya pilipili? Badilikeni jamani kwanza huyu afande hapo juu ilitakiwa ashtakiwe kwa kumpa ajira mtoto wa shule ya msingi.
Hapa sijui wese limeisha alienda kununua kwenye kudumu au ndo betri down Jamani mapolisi mnatia aibu sasa hapo ikitokea dharura si ndo balaa Ndo maana huwa mnafika maeneo ya matukio baada ya saa 1 mpaka mshtue defender zenu Lakini nashangaa kwenye Maandamano huwa mnafika mapema hata kabla ya mda wa maandamano Tuseme ndo usongo wa kupiga watu virungu na mabuti? Au fraha yenu kuona watu wanahangaika kutafuta maji kuosha nyuso zao kwa maji ya pilipili? Badilikeni jamani kwanza huyu afande hapo juu ilitakiwa ashtakiwe kwa kumpa ajira mtoto wa shule ya msingi.
DaMie JF-Expert Member Mar 24, 2010 684 171 Jan 6, 2011 #2 Wese limeisha kwa gari ya baba ambaye ni Afande, kwa hiyo mtoto anasukuma gari la baba la kazini.
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,445 Jan 6, 2011 Thread starter #3 DaMie said: Wese limeisha kwa gari ya baba ambaye ni Afande, kwa hiyo mtoto anasukuma gari la baba la kazini. Click to expand... Hapa yawezekana betri ipo down ndo maana ameamua kushtua, Golf haipigi starter sijui ikiwa kwenye msafara wa JK alafu izime gafla duh si balaa
DaMie said: Wese limeisha kwa gari ya baba ambaye ni Afande, kwa hiyo mtoto anasukuma gari la baba la kazini. Click to expand... Hapa yawezekana betri ipo down ndo maana ameamua kushtua, Golf haipigi starter sijui ikiwa kwenye msafara wa JK alafu izime gafla duh si balaa
kiraia JF-Expert Member Nov 20, 2007 1,716 999 Jan 6, 2011 #5 DaMie said: Wese limeisha kwa gari ya baba ambaye ni Afande, kwa hiyo mtoto anasukuma gari la baba la kazini. Click to expand... Gari la baba sio la baba la kazini
DaMie said: Wese limeisha kwa gari ya baba ambaye ni Afande, kwa hiyo mtoto anasukuma gari la baba la kazini. Click to expand... Gari la baba sio la baba la kazini
M Matumaini Member Jul 31, 2008 49 7 Jan 6, 2011 #6 Ivi hiyo ni Golf au Hyundai? Au ndio kiswahili cha kuita kalamu ''BIC''?
Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member Dec 6, 2006 3,020 577 Jan 6, 2011 #8 Mpasuajipu said: Inueni mioyoooooo Click to expand... Tumshukuru Mpasua Jipuuuuuu.
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,445 Jan 6, 2011 Thread starter #9 Matumaini said: Ivi hiyo ni Golf au Hyundai? Au ndio kiswahili cha kuita kalamu ''BIC''? Click to expand... Wao wenyewe hao wanaita Golf na si Hyundai
Matumaini said: Ivi hiyo ni Golf au Hyundai? Au ndio kiswahili cha kuita kalamu ''BIC''? Click to expand... Wao wenyewe hao wanaita Golf na si Hyundai