Golds zinaendaga wapi au ziko wapi?

Nyie mnaitaji fimbo nyingi
 
Nyie mnaitaji fimbo nyingi
kajifunze kuandika vizuri wewe,inaonekana una shule ndogo Ndio maana Kila kitu tunachowasilisha kwako ni kigeni,mbona Wengine wanatuelewa na wanaelewa Nini tunamaanisha Humu,unaona wanabwabwaja kama wewe Humu?
Jitahidi ufiche ujinga hakuna Mtu alikufanya ukimbie shule,ila Bado una nafasi ya kutafuta maarifa mengine mengi zaidi,
I believe una wakati mzuri hujachelewa
Masomo mema Kijana!
 
Daaa!! una kitu hapa mkuu hebu nimegee kidogo hapo!! na kweli Mansa Musa alikuwa tajiri kufuru na mnooo wa dhahabu!!......
 
Daaa!! una kitu hapa mkuu hebu nimegee kidogo hapo!! na kweli Mansa Musa alikuwa tajiri kufuru na mnooo wa dhahabu!!......
daaa sina mengi ndugu yangu zile dhahabu zilienda Kwa wenyewe,
Maana baada ya pale ufalme wake ulisambaratika watu wakagawana Mbao na dhahabu zikayeyuka fyuuuuuu
Leo hata uende chimba na kufukua karibu na sehemu ilipokua ngome yake huoni hata masalia ya dhahabu wakati tunajua Kuna vile vizee vinafukiaga Mali chini ya ardhi majumbani kwao et Leo watafiti Wanachimba wanaambulia vyungu,mikuki na mundu
Inakuja kweli hata kipande Cha gold kuonesha ushahidi hakuna Yani!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…