Romney ndio anarudishwa kwao baada ya kushindwa na Pres Obama? (Nahisi ndio maana ya huo mcharo!)
Bado mkuu, nafikiri huo ni utabiri tuu, leo Jumanne ndio uchaguzi wenyewe ila kesho J5 tutakuwa tunajua...
Mbuzi mzee mambo unayaonaje huko? kweli obama anaweza kuchukua tena, nahisi hata north europe wanampendelea
obama ila sijui nyinyi wenyewe huko mnasemaje !!
Romney ndio anarudishwa kwao baada ya kushindwa na Pres Obama? (Nahisi ndio maana ya huo mcharo!)
Mkuu, msiwe na wasi wasi, Mtaalamu Obama anachukua nchi, ndio maana hii leo Romney yupo kila pahali kama vile kuku asiye na kichwa. Jamaa kashikwa pabaya sana. Mjalua anarudi, taka wasitake. Romney teyari kesho kodisha Mawakili 6 kupinga Matokeo.