Gogo agents dalali gogo.

Gogo agents dalali gogo.

GOGO AGENTS

Member
Joined
Feb 15, 2019
Posts
10
Reaction score
14
Habari ya mda huu, napenda kujitambulisha kwenu kuwa mimi ni dalali wa kupangisha nyumba vyumba apartments, hostels, godowns ,yards, business frames, villas, duplex, penthigh. Kuuza nyumba, viwanja, mashamba na magari.

Maeneo ambayo tunadili nayo ni yafuatayo:
Sinza, Svaei chuo, Makongo, Changanyikeni, Ubungo, Tabata, Kimara, Mbezi, Kijitonyama, Makumbusho, Magomeni, Kinondoni, Ousterbay, Masaki, Mikocheni, Kawe, Mbezi ya chini, Mbezi beach, Mwenge, Tegeta, Boko, Bunju, Mbweni, Ununio, Goba, Kariakoo, Upanga, Posta na Kigamboni.
 
Kiongozi imekaa vzr. Lkn pia

Wadau

HUENDA WAHITAJI...
* Kusajili kampuni
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: WATSUP TU 0652 411402
BEI ZETU HAZINA USHINDANI, MIKOANI PIA TUNAHUDUMIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona temeke umewatenga kamanda.! Au huko hamna wateja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sie wa Temeke tutapeleka hoja bungeni ili tuhamishiwe Mkoa wa Pwani na tuna uhakika tukiwa kule, tutakuwa ndo New York yao na kwahiyo heshima itakuwepo! Kwanza tumejaa watu wa mkoa wa Pwani huku, kwahiyo itakuwa tunarudi home!
 
Habari ya mda huu, napenda kujitambulisha kwenu kuwa mimi ni dalali wa kupangisha nyumba vyumba apartments, hostels, godowns ,yards, business frames, villas, duplex, penthigh. Kuuza nyumba, viwanja, mashamba na magari.

Maeneo ambayo tunadili nayo ni yafuatayo:
Sinza, Svaei chuo, Makongo, Changanyikeni, Ubungo, Tabata, Kimara, Mbezi, Kijitonyama, Makumbusho, Magomeni, Kinondoni, Ousterbay, Masaki, Mikocheni, Kawe, Mbezi ya chini, Mbezi beach, Mwenge, Tegeta, Boko, Bunju, Mbweni, Ununio, Goba, Kariakoo, Upanga, Posta na Kigamboni.
tunaweza wasiliana?ninauza nyumba yangu ipo mbezi beach.
 
Habari ya mda huu, napenda kujitambulisha kwenu kuwa mimi ni dalali wa kupangisha nyumba vyumba apartments, hostels, godowns ,yards, business frames, villas, duplex, penthigh. Kuuza nyumba, viwanja, mashamba na magari.

Maeneo ambayo tunadili nayo ni yafuatayo:
Sinza, Svaei chuo, Makongo, Changanyikeni, Ubungo, Tabata, Kimara, Mbezi, Kijitonyama, Makumbusho, Magomeni, Kinondoni, Ousterbay, Masaki, Mikocheni, Kawe, Mbezi ya chini, Mbezi beach, Mwenge, Tegeta, Boko, Bunju, Mbweni, Ununio, Goba, Kariakoo, Upanga, Posta na Kigamboni.
nitumieni namba yenu ya simu
 
Back
Top Bottom