Hiyo salasala inatoka toka dah nasugua benchi flani mitaa ya Iringa nimpauka kinoma kila siku natembea kilometa kama 12 kwenda na kurudi.Godzilla hakuwa tishio kiasi cha kuandaliwa mtu wa kumzima. Japo alikuwa msanii mzuri hasa kwenye upande wa freestyle, ngoma zake nazozikubali zaidi ni 'salasala' na 'kingzilla' ft Makochali
Bill Nas sio replacement ya Godzilla, na hata kaa afiti kwenye viatu vyakeWanajukwaa wa JF nawapa salam, ni matumaini yangu mnaendelea vizuri.
Japo ninayajua mambo machache kuhusu mtaalamu wa mziki wa aina ya HipHop- Godzila (King Zila) nimeona itakuwa bora kuwashirikisha nanyi mjazie mambo mnayoyafahamu kumhusu.
Sijawahi kuwa mfuatiliaji mzuri wa Mziki, na hii tabia si tu kwa nyimbo na wanamziki wa Tanzania ila hata muziki wa nje za nchi nao haukuwa katika vitu nilivyokuwa nikivipenda. Nakumbuka mwaka 2019 tukiwa darasani mwalimu wetu aliingia na kututaarifu kuhusu kuaga dunia kwa mwanamziki GODZILA. Baada ya kurejea nyumbani nikaingia mtandaoni na kuanza kuangazia nyimbo zake kadhaa, nilivyosikiliza wimbo wa STAY nilijikuta nimejawa na hisia kali mno (In a positive way), hapo nikaendelea kuangazia nyimbo nyingine nyingi.
Niliwahi kusikia habari chache sana kumhusu GODZILA, moja wapo ya stori nilizowahi kuzisikia ni kwamba aliandaliwa kuzimwa na the so called -Man in The black aliyekuwa akijinasibu kuisimamia Bongofleva na kuwainua vijana wengi licha ya kwamba mkulu huyo alitwishwa maneno yakuwa na tabia ya kikoloni. Bilinenga aliingia nakuwa replacement ya Godzila.
Kama una mengine unayoyajua kumhusu changia hapa ili tupate kumjua kiundani.
Quote kutoka kwa King Zila
" Rule number One, never complicate"
Haya mambo yakuwa replaced uwa ni maneno ya kipuuzi tu.Wanajukwaa wa JF nawapa salam, ni matumaini yangu mnaendelea vizuri.
Japo ninayajua mambo machache kuhusu mtaalamu wa mziki wa aina ya HipHop- Godzila (King Zila) nimeona itakuwa bora kuwashirikisha nanyi mjazie mambo mnayoyafahamu kumhusu.
Sijawahi kuwa mfuatiliaji mzuri wa Mziki, na hii tabia si tu kwa nyimbo na wanamziki wa Tanzania ila hata muziki wa nje za nchi nao haukuwa katika vitu nilivyokuwa nikivipenda. Nakumbuka mwaka 2019 tukiwa darasani mwalimu wetu aliingia na kututaarifu kuhusu kuaga dunia kwa mwanamziki GODZILA. Baada ya kurejea nyumbani nikaingia mtandaoni na kuanza kuangazia nyimbo zake kadhaa, nilivyosikiliza wimbo wa STAY nilijikuta nimejawa na hisia kali mno (In a positive way), hapo nikaendelea kuangazia nyimbo nyingine nyingi.
Niliwahi kusikia habari chache sana kumhusu GODZILA, moja wapo ya stori nilizowahi kuzisikia ni kwamba aliandaliwa kuzimwa na the so called -Man in The black aliyekuwa akijinasibu kuisimamia Bongofleva na kuwainua vijana wengi licha ya kwamba mkulu huyo alitwishwa maneno yakuwa na tabia ya kikoloni. Bilinenga aliingia nakuwa replacement ya Godzila.
Kama una mengine unayoyajua kumhusu changia hapa ili tupate kumjua kiundani.
Quote kutoka kwa King Zila
" Rule number One, never complicate"
Hii verse ya rule no one never complicate alisem kweny ngoma gan mkuu imenitoka kidgWanajukwaa wa JF nawapa salam, ni matumaini yangu mnaendelea vizuri.
Japo ninayajua mambo machache kuhusu mtaalamu wa mziki wa aina ya HipHop- Godzila (King Zila) nimeona itakuwa bora kuwashirikisha nanyi mjazie mambo mnayoyafahamu kumhusu.
Sijawahi kuwa mfuatiliaji mzuri wa Mziki, na hii tabia si tu kwa nyimbo na wanamziki wa Tanzania ila hata muziki wa nje za nchi nao haukuwa katika vitu nilivyokuwa nikivipenda. Nakumbuka mwaka 2019 tukiwa darasani mwalimu wetu aliingia na kututaarifu kuhusu kuaga dunia kwa mwanamziki GODZILA. Baada ya kurejea nyumbani nikaingia mtandaoni na kuanza kuangazia nyimbo zake kadhaa, nilivyosikiliza wimbo wa STAY nilijikuta nimejawa na hisia kali mno (In a positive way), hapo nikaendelea kuangazia nyimbo nyingine nyingi.
Niliwahi kusikia habari chache sana kumhusu GODZILA, moja wapo ya stori nilizowahi kuzisikia ni kwamba aliandaliwa kuzimwa na the so called -Man in The black aliyekuwa akijinasibu kuisimamia Bongofleva na kuwainua vijana wengi licha ya kwamba mkulu huyo alitwishwa maneno yakuwa na tabia ya kikoloni. Bilinenga aliingia nakuwa replacement ya Godzila.
Kama una mengine unayoyajua kumhusu changia hapa ili tupate kumjua kiundani.
Quote kutoka kwa King Zila
" Rule number One, never complicate"
kila wakati ft gnakoHii verse ya rule no one never complicate alisem kweny ngoma gan mkuu imenitoka kidg
Jamaa namuonaga wakawaida sana.Billnas alipoanza kutoka alihit kwa uwezo wake tu na kila mtu akamwelewa na chafu pozi yake
Kila mwanamziki ana muda wa kuhit na kuisha, so kama una hit jiandae na maisha ya ku go down usije kufa kwa stress.
Moja Kati ya waamziki waliouweka mziki wa Tanzania kwenye ramani nzuri hasa upande wa Hip hop ni Juma nature Lakini Muda ukipita umepita Jamaa anajitahidi kurudi kwenye game lakini wapi the same kwa Saida karoli licha ya kujitahidi kurudi kwenye game baada ya zile ngoma za Diamond,Darasa na Belli 9 lakini akashindwa kutoboa.Muda ukipita umepita. Ndio maana uwa nacheka wanaosema wasanii wa zamani wanabaniwa, hakuna cha kubaniwa muda wao umepita
Nipo fresh aisee ukimuona DUKE mpe BAPA Aiseee!!Jamaa alikuwa ni kisanga
Kuna ile inaitwa"kila wakati" akiwa na g nacko alikuwa na kipaji.
Kiufupi tumepoteza vichwa vingi akiwemo zillah, langa kileo, ngwear nk