GE2025 Godwin Mollel ashinda ubunge jimbo la Siha kwa asilimia 78.4 dhidi ya wapinzani wake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemtangaza aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin Mollel kuwa ndiye mshindi wa Ubunge wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro.

Uchaguzi huo mdogo ulifanyika jana Desemba 30, 2025 baada ya kusogezwa mbele kutokana na aliyekuwa mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Daudi Ntuyehabi kufariki dunia kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika.

Pia Soma: Mgombea ubunge CUF Siha auawa kinyama katika ugomvi

Akitangaza matokeo hayo usiku wa Desemba 30, 2025 Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo, Marko Masue amesema Dkt. Mollel alipata kura 51,769 sawa na asilimia 78.4 huku mpinzani wake wa Chama cha NRA, Ntaana Thobias akipata kura 4,992 sawa na asilimia 7.56.

Naye, mgombea wa Chama cha ACT Wazalendo, Ashukuriwe Matemu alipata kura 3,678 sawa na asilimia 5.57, Mgombea wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mdoe Ambazi alipata kura 3,128 sawa na asilimia 4.74 huku mgombea wa Chama cha MAKINI, Daniel Nsila alipata kura 2,007 sawa na asilimia 3.04.

Pia Soma: INEC yasitisha Kampeni za ubunge Jimbo la Siha kufuatia kifo cha mgombea wa CUF, Daudi Ntuyehabi
1767177147096.png
 
so Huyu ndio Mbunge wa Kwanza maFISIEMU wameweza kutangaza matokeo yake!
 
......mtindio wa ubongo huyu.....hayiko sawa
 
Uchafu mtupu wengi ndio tumejua hata kulikua na huu ujinga wa CCM.
 
Back
Top Bottom