Godoro na dressing table vinauzwa

Godoro na dressing table vinauzwa

sawa kweli ukiangalia kabati itumike,godoro istumike?,labda kama jamaa analala kwenye droo
Mbona unanisemea mkuu!!?niliandika dt imetumika godoro jipya..na ndio ipo hivyo.
 
unategemea udanganywe uridhike?au uambiwe ukweli ukasirike
Kaka ujue biashara inameng hivo uvumilv unatakiwa kuna wengne watakuja na kebehi ila kikubwa uko nyuma nimekua mtetezi wako ukisoma comments zangu
 
Godoro 6*6 inch 10.
Dressing table ya mbao droo nne
Godoro jipya dressing table imetumika....vyote 230000.
Mawasiliano 0620 250321
Godoro peke yake ni sh ngap nahitaji niambie mkuu tufanye boashara je 150000 vypte viwili nabeba au ikoje iyo punguza themanini kwenye bei yako ya mwanzo ili tuweze kufanya biadhara namaanisha ipo 150000
 
Godoro 6*6 inch 10.
Dressing table ya mbao droo nne
Godoro jipya dressing table imetumika....vyote 230000.
Mawasiliano 0620 250321
Ipo 150000 tufanye biashara mkuu kama umeikubali ofa nicheck apa boss whatsap. 0621840335
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom