Godbless Lema ndani ya Arusha live

Ooh? Nyoko nyoko, wabunge wa chama gani sijui hawajali wananchi majimboni kwao, wanazunguka nchi nzima kuhamasisha vurugu, mara wakanda, ...sijui nini na nini.... HAPO CHACHA?
 
 Mareche,naomba rekodi vizuri,nimeongea kuhusu swala la umeya,na tumemtaka
serikali ichukue hatua mapema,maana tutafanya maandamano yasiyo na kikomo hadi kieleweke
 
Lema mtu wa watu sana nakumbuka mechi ya fc arusha v simba alingia uwanjani watu wakamkimbilia akaenda kukaa na washkaji kwenye sakafu huku akiwaacha wabunge wa magamba rage wakimshangaa.,jamaa jasiri sana
 
nanyaro nimekupata mkuu tupo pamoja man
 
Jamaa alisoma advance diploma pale chuo cha Uhasibu Arusha. Niya nini mwenye kujua aje atujuze.
 
Lema kata yetu hajapita japo kuangalia hata brbr tangu achaguliwe tunamuona kwenye tv na magazetini .
 

heshima kwako mkuu,una tungo zenye hekima ndani yake.
 
 Mareche,naomba rekodi vizuri,nimeongea kuhusu swala la umeya,na tumemtaka
serikali ichukue hatua mapema,maana tutafanya maandamano yasiyo na kikomo hadi kieleweke
Mkuu leo wakati unaongea ulionyesha wazi wazi kuwa una hasira kupindukia au ulikuwa ukiangalia kila sehemu polisi wakutosha ndiyo unakumbuka ya tarehe 5.1.2011...LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…