swagazetu JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 4,253 Reaction score 1,475 Nov 26, 2015 #21 Lema akishindwa najinyonga maana ni sawa nagufuli kuhama chama akiwa raisi wa nchi.
Dijina40 JF-Expert Member Joined May 17, 2010 Posts 727 Reaction score 249 Nov 26, 2015 #22 jingalao said: Tegemeo la lema ilikuwa ni lowassa na amepigwa chini.. Click to expand... Lowassa kaja lini UKAWA na Lema mbunge toka lini?
jingalao said: Tegemeo la lema ilikuwa ni lowassa na amepigwa chini.. Click to expand... Lowassa kaja lini UKAWA na Lema mbunge toka lini?
Dijina40 JF-Expert Member Joined May 17, 2010 Posts 727 Reaction score 249 Nov 26, 2015 #23 Erythrocyte said: Kuna haja sasa ya jf kupitia cv ya mtu kwanza kabla ya kumruhusu kujiunga . Click to expand... Umewaza kama mm. Nilidhan pia tungetofautishwa wenye ufahamu na mapoyoy...
Erythrocyte said: Kuna haja sasa ya jf kupitia cv ya mtu kwanza kabla ya kumruhusu kujiunga . Click to expand... Umewaza kama mm. Nilidhan pia tungetofautishwa wenye ufahamu na mapoyoy...
Paul Mchumi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2013 Posts 1,040 Reaction score 1,273 Nov 26, 2015 #24 mpinga shetani said: Walahi Lema hawezi kushinda. Apeleke uchawi wake kwingine Click to expand... Mkuu tarudi kwako,uchaguzi ukishafanyika!
mpinga shetani said: Walahi Lema hawezi kushinda. Apeleke uchawi wake kwingine Click to expand... Mkuu tarudi kwako,uchaguzi ukishafanyika!