Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 528
kuna propaganda za kitoto zinazoendeshwa na wanaccm ambao wengi hawaijui Arusha na hili ni tatizo la ccm kuwa kutokuwa takwimu sahihi huu uchaguzi LEMA aliumaliza kwenye Daftari La kujiandikisha na ni ngumu mno ccm kushinda hapa jikiteni kwenye siasa za majimbo mengine hapa ARUSHA CHADEMA WATASHINDA TENA KWAKISHINDO KIKUBWA.