Godbless Lema kunyang'anywa jimbo la Arusha

CCM ni chama danganyifu na hivyo wao pesa ndio mambo yote! Kwani mwaka 2010 CDM ilipata wabunge wake kwa kuwa walitoa mlungura kwa nani?
 

Kama habari hizo ni za kweli inaonekana CCM bado wanataka kutumia mbinu yao ile ile ya kutoa rushwa katika kutafuta uongozi, mimi sitaki kuamini kwamba huyo bilionea atafani9kiwa kuwahonga wapiga kura wote wa jimbo la Arusha bila kukutana na mkono wa dora (takukuru) na kama hilo litatokea basi nitaamini nchi hii haina taasisi ya kuzuia rushwa na kwamba ile iliyopo inakula fedha zetu bure. Haiwezekani mtu aandikwe kwenye vyombo vya habari kwamba anajiandaa kutumia rushwa ili ashinde halafu hilo litokee kweli, haiwezekani kwa takukuru ninayoifahamu mimi.
 
Wapiga kura wa Arusha kaeni mkao wa kula hizo fedha za huyo anayeitwa bilionea. Huyo anatakiwa apewe funzo, mnapiga hela yake vizuri,ila kwenye sanduku la kura akili kichwani! Haki hainunuliwi jamani!
 
Mathias manga anatumika tu kama mpira hyo hana jipya
 
dah kumbe lema gharama sana? nilidhani atang'olewa kwa hoja kumbe mabilioni
 
Mathias manga anatumika tu kama mpira hyo hana jipya

Haaa kumbe ni huyo pimbi aende zake mererani bwana pesa italiwa alafu ndio wataipenda hao ma brocker hapo mjini ndio wana mdanganya haya bwana tutakutana mwezi wa toba october.!
 
Ujinga mtupu nilijua mtu wa maana kumbe ni huyo jamaa hela imejaa inawasha sasa, alafu mafisadi wamesha mdanganya ili awape kick siyo. Haya bwana yetu macho hiyo ni tisa kumi ni kwenye mwezi wa toba october....!!!
 

Huyo 'bilionea' hana jina?? hiyo ni ishara ya woga, aje amwage hizo bilions zitaliwa na hapati hata akigombea udiwani
 


Niwaase wananchi wenzangu wa Arusha kuwa,mkiletewa pesa msiache kula ni zenu na inawezekana kabisa ni hizi zinazoibiwa kifisadi Serikalini kila siku.Sasa CCM wanataka kumuweka mtu wao na kumuendesha kwa remote hivyo zikija kuleni ,kura wapeni Chadema wenye dhamira ya kweli ya uongozi tofauti na CCM uongozi kwao unanunuliwa ama unapatikana kwa mabomu na risasi za moto
 
Hekaya za Abunuwasi haziishi watu kwa kutkutunga maneno ni hatari. Eti tajiri hivi huyu tajiri anajichagua mwenyewe hivi huko Arusha hakuna watu eeh au kuna maboksi labda
 
CCM wanaamini sana katika matumizi ya hela kuwahonga wapiga kura! Arusha wanajitambua, watachukua fedha za huyo bilionea na baada ya hapo kichapo kitaendelea tu ...
 
Mathias Manga hata udiwani kwenye kata hake ataukosa leo hii ubunge wa Arusha mjini. Hahaaa
 
Kaka Rich bado uko na fikra za kale,kwa kukusaidia tu ni kuwa wanaarusha hawakumchagua Lema kwa sababu ccm haijafanya chochote, wanaarusha wanataka mabadiliko kwa maana wamechoshwa tuu na ccm, na ndio maana pamoja na hila lukuki za ccm bado matokeo ya uchaguzi serikali za mitaa yameifavour chadema.Lema na Chadema watashinda arusha tena kwa kishindo kikubwa hata akigombea Kinana.Na hivi ndivyo itakavyokuwa Nyamagana,Ilemela,Shinyanga mjini n.k. vijana hawaitaki ccm,wazee na akina mama nao wameshashtuka, yaani umebaki tu wewe Rich na vijana wenzio mnaochumia matumbo na kwa ccm kuendelea kutawala ni ulaji na mtaji wenu tosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…