Godbless Lema: Kikwete usicheze na maisha ya watu kisiasa kukabiliana na milipuko

Lema tangu afanyiwe kitu mbaya mini kabaang hadi akaamua kuonyesha picha kwenye mkutano ameharibikiwa ubongo kabisa

Ila Mkuu wale watu walimkosea sana LEMA, Hawakupaswa kumfanyia kile kitendo cha kihuni vile, labda kwa sababu alipenda mwenyewe!
 
LEMA zile rambirambi za "MASHUJAA" alizipeleka wapi?

Ulichanga shilingi ngapi? Nani kakuambia Lema alikuwa anapokea rambirambi? Mkikosa hoja lazima mhangaike kama kuku anayetaka kutaga
 
hivi wewe huyo lema sasa hivi anaishi wapi. Wangekuwa kweli walitaka kumuua sasa hivi wanashindwa nini kufanya hivyo. Tuache kujitoa akili kwa mambo yaliyo wazi jamanii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu hata kama wewe ni sehemu ya hiyo dola yenu, ukumbuke ukimuua mhs lema ni kuwa wewe na familia yako ccm mtaisahau Arusha ndiyo maana mnatafuta formular hamjaipata ya kufanya hivyo. Ujue hamuipati ngoo!!
 
Tunataka waunde tume huru ya kuchunguza hii milipuko na si blabla hizi za watawala.Wasipounda tume huru wananchi tutaendelea kuamini kuwa ccm inahusika na ndio sababu ya kutounda tume huru ya kiuchunguzi.
 
wewe si mwana Arusha sisi wanaArusha tunampenda Lema kupita maelezo!!

Kweli kabisa mkuu................ manake leo ukienda mbeya, ukienda mtwara, rukwa, bukoba jina la Lema ni zaidi ya Jk ambaye watanzania wanaamini ni konda wa ndege
 
Kweli kabisa mkuu................ manake leo ukienda mbeya, ukienda mtwara, rukwa, bukoba jina la Lema ni zaidi ya Jk ambaye watanzania wanaamini ni konda wa ndege

LEMA ni MBUNGE WA TAIFA , KILA MAHALI WANAMLILIA .
 
wewe kama Mwana Arusha umefanya nini? wacha ulumumba mkiambiwa mikutano yachadema mnaweka kichwa juju juzuia lakini linapokuja swala muhimi mnatoa kauli za ajabu ajabu acheni kutoa majibu marahisi kwanye maswali mazito
 
Kuna majitu mapumbavu yanajifanya wana Arusha kumpiga vijembe Lema anayetetea siyo tu wana Arusha, bali watanzania kwa ujumla. Wanageuza hoja ya msingi kwa Konda wa ndege kugeuza milipuko ya mabomu kisiasa badala ya kuchukua hatua
 
poleni sana wana Arusha hayo matukio si vizuri kufurahia: Ila mjui kuwa wafuasi wenu wanapenda vurugu sasa mkae mjua mnazalisha matatizo kwa mfano mtoto mtukutu ndani ya nyumba ujue unazalisha ujambazi
 
Kwa hiyo serikali inalipua mabomu kutuliza mtoto mtukutu?
 
Acha kujiondoa ufahamu mkuu. Kikwete ndiye mwenye dola. Unatakiwa ujiulize usalama wa taifa wanafanya nini? mabomu yanaingiaje nchini hayajaonekana? Au usalama wa taifa wapo busy na chadema?

Usalama si kazi ya dola peke yake, usalama ni kazi ya kila raia mwenye mapenzi mema na nchi yake. Lema kama kiongozi alipaswa kuwa mfano katika suala la usalama na si kumtupia lawama mheshimiwa Rais. Haingii akilini kiongozi wa wananchi unadai una ushahidi wa video halafu unajifungia nao chumbani eti kisa tume haijaundwa, hivi wenye macho ya kuangalia ni tume ya kijaji tu? wananchi wa kawaida ambao ndio waathirika wa haya matukio hawana macho? Mkuu Mungi USALAMA UNAANZA NA MIMI, WEWE KISHA YULE.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom