MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
kweli wewe mama Porojo kama jina lako.My Take: Chadema isipokuwa makini umaarufu wake utapungua kutokana na migogoro mingi inayokikumba chama hicho. Mwaka 2015 si mbali jahazi linaonekana kuyumba ukilinganisha na huko nyuma. Wengi wataumia ndani ya chama hicho kwani umaarufu wa mtu unakuwa juu ya chama. Hizi tuhuma dhidi ya Lema hazikijengi chama bali zinakibomoa. Arusha hali si shwari.
Mmemuandama dr slaa sana tu atikisiki,Mmeanza kumchimba Lema.NIKIWA KAMA Katibu mwenezi wa chadema ktk mojawapo ya kata hapa arusha Mjini napingana nawe.HALI YA CHADEMA ARUSHA NI SHWARI na hapa tulivyo ni vigumu mno hata kuona bendera ya magamba kwa mabalozi ambao nadhani HAWAPO siku hizi ktk jimbo hili.hizi ni siasa za sewage za mama porojo na akina mama chatanda.

Tuhuma hizi ni nzito, lakini kwa vile mtuhumiwa ni lema basi makao makuu itazipuuzia tu. Poleni sana makamanda wa Arusha...
Masalia @work what a wonderful incidence theory za kusema tutengeneze migogoro waache kuconctrate sasa let them know ,kwamba chadema wako imara kupambana na kila aina ya nzi hata wale wakubwa wa chooniTuhuma hizi ni nzito, lakini kwa vile mtuhumiwa ni lema basi makao makuu itazipuuzia tu. Poleni sana makamanda wa Arusha...
Mama rudi ndani umnyonyeshe mtoto wako, acha umbea mambo ya nyumba za watu hayakuhusu.
Mkuu, document hiyo imetoka kwenu Arusha na kusainiwa majina hayo umeyaona na imetumwa hadi makao makuu ya chadema. Mimi sijaongeza neno kwa nini unanishambulia mimi binafsi? badala ya kujibu yatokanayo na hiyo Document?
Nimezisoma hizo nyarakafeki, sijaona ukashfa wala chembe ya kuiua chadema!
Mods: kumekuwa na taswira flani ya uachaji wa mijadala ya kizushi inayotupotezea mda na kushusha hadhi ya jukwaa hili!
Uzushi kama huu haina haja ya kuuacha watu waendelee kuangalia!