Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,759 Reaction score 37,370 Jul 23, 2025 #21 Kikwajuni One said: Nyumbu Click to expand... wewe chawa tupe f*ck news uliyopata kupitia sikio la kinyeo
Kikwajuni One said: Nyumbu Click to expand... wewe chawa tupe f*ck news uliyopata kupitia sikio la kinyeo
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,709 Jul 23, 2025 #22 Akale wapi?
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,319 Reaction score 13,385 Jul 23, 2025 #23 Poppy Hatonn said: Nimeona kama lipo tangazo Facebook kwamba Lema amestaafu siasa Anayefahamu huhusu hili atueleze Click to expand... Kule ni kwa watoto mkuu, hakuna ukweli wowote
Poppy Hatonn said: Nimeona kama lipo tangazo Facebook kwamba Lema amestaafu siasa Anayefahamu huhusu hili atueleze Click to expand... Kule ni kwa watoto mkuu, hakuna ukweli wowote
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 23,877 Reaction score 37,001 Jul 23, 2025 #24 Retired said: ASIFANYE HIVYO. CHADEMA INAMHITAJI SANA. ASUBIRI SEKESEKE HILI LIISHE. NAMLAUMU MBOWE KIUTELEKEA CHADEMA. SAWA LISU ALIMKASHIFU SANA, LAKINI FOR THE SAKE OF CHADEMA, ARUDI AFE NAYO Click to expand... Una mpa Mbowe ukubwa asio stahili. Abaki huko CHAUMMA haitajiki CHADEMA. Alishapigwa Chini na Lissu that's all.
Retired said: ASIFANYE HIVYO. CHADEMA INAMHITAJI SANA. ASUBIRI SEKESEKE HILI LIISHE. NAMLAUMU MBOWE KIUTELEKEA CHADEMA. SAWA LISU ALIMKASHIFU SANA, LAKINI FOR THE SAKE OF CHADEMA, ARUDI AFE NAYO Click to expand... Una mpa Mbowe ukubwa asio stahili. Abaki huko CHAUMMA haitajiki CHADEMA. Alishapigwa Chini na Lissu that's all.
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,169 Reaction score 29,876 Jul 23, 2025 #25 Poppy Hatonn said: Nimeona kama lipo tangazo Facebook kwamba Lema amestaafu siasa Anayefahamu huhusu hili atueleze Click to expand... Lema aulizwe kama amestaafu na ile kazi yake ya magari kupoyea!
Poppy Hatonn said: Nimeona kama lipo tangazo Facebook kwamba Lema amestaafu siasa Anayefahamu huhusu hili atueleze Click to expand... Lema aulizwe kama amestaafu na ile kazi yake ya magari kupoyea!
Morocco forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,121 Reaction score 6,879 Jul 23, 2025 #26 Poppy Hatonn said: Nimeona kama lipo tangazo Facebook kwamba Lema amestaafu siasa Anayefahamu huhusu hili atueleze Click to expand... Sio kitu cha ajabu, yeye ni mtu wa kawaida tu.
Poppy Hatonn said: Nimeona kama lipo tangazo Facebook kwamba Lema amestaafu siasa Anayefahamu huhusu hili atueleze Click to expand... Sio kitu cha ajabu, yeye ni mtu wa kawaida tu.
Bird Watcher JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 4,495 Reaction score 9,265 Jul 24, 2025 #27 Facebook ni worst media outlet for speculation and fake news wacha Kutegemea habari za Facebook Wala Opera news
Facebook ni worst media outlet for speculation and fake news wacha Kutegemea habari za Facebook Wala Opera news
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 20,711 Reaction score 31,325 Jul 24, 2025 #28 Pensheni yake atapata kwa kushuhudia na kufaidi unono maendeleo yanayoletwa na CCM