Good, tupe na picha za magamba yakipokea kadi mpya mkuu
Mjumbe wa Kamati kuu CHADEMA na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema leo ameitikisa vilivyo CCM Monduli.
Lema ambaye alikuwa akizindua kampeni za udiwani katika kata ya Makuyuni ameshangazwa na umati mkubwa wa watu uliohudhuria kuunga mkono mgombea wa CHADEMA.
Mara baada ya kumwaga sera vilivyo huku akimnadi mgombea wake zaidi ya wanachama 700 wa CCM walijitoa katika chama hicho na kukabidhiwa kadi za CHADEMA.
Watu mbalimbali wamesema kwa siasa za Monduli hilo ni pigo kubwa kwa CCM kwani ilikuwa inaonekana kwa mkoa wa Arusha CCM walau inajivunia ngome yake maeneo hayo.

Lema maana yake ni nini kwa wanaojua?
Tunakungoja na wewe mzee tupatupa ukate shauri na kujiunga na mabadiriko ha ha au unaogopa wakubwa mzeeKiukweli,Godbless Lema ametushinda kama Chama cha Mapinduzi.Lema hazuiliki,hadhibitiki. Hongereni sana mliokuwa 'wanamagamba' wenzangu kwa kuamua mlivyoamua. Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Tunakungoja na wewe mzee tupatupa ukate shauri kujiunga na mabadiriko ha ha au unaogopa wakubwa mzee